I missed you princess... kama hujakutana na old friends for a long time, first you need to say "hello!" Anyway, nitaanza mimi.. hello geniveros, u good? Heri ya mwaka mpya 2015.
Now to the point... kwamba sio kweli kwamba mashabiki wote wa Kiba wanamponda, nakubaliana na wewe kwa 100% ila kwa bahati mbaya, hii lugha wakati mwingine kwenye baadhi ya sehemu inakuwa gumu kidogo kufanya selection unless you're Kiswahili guru! Lakini hata ukisoma conclusion yangu kwenye hiyo post, inasema:"basi hata wale mashabiki wa Kiba wanokesha kila siku kutangaza umalaya wa Diamond basi bila shaka nao wana wivu na wangependa wagongwe wao!!!" Hilo neno wale lina maana kubwa sana hapo... kwamba, sio mashabiki wa Kiba bali "wale mashabiki wa Kiba" wanaoponda...! Mathalani, mara kibao nakuona ni namna gani unavyotoa "thumb up" kwa Zari kwahiyo nitakuwa mtu wa ajabu niamini kwamba mashabiki wote wa Kiba wapo in the same boat katika hili!
Kuhusu mashabiki wa Diamond wanaomponda... let me tell you this my princes! Diamaond alikuwa na mashabiki wa aina mbili... aina ya kwanza ni wale mashabiki wake mwenyewe na aina ya pili ni wale ambao walienda kwa Diamond kwa ajili ya Wema. Lakini pia kuna kundi moja dogo... hawa ni wale ambao wanampenda Diamond at the same time wanampenda Wema! Sasa wale unaowaona wanamponda Diamond, majority ni wale ambao walipanda boti la Diamond kutokana na Wema... baada ya Wema kuwa out, sasa ndo wamehamishia hasira zao kwa Zari... Sina hakika kama wakati Diamond yupo na Penny ulikuwa umeshajiunga JF lakini hata kama ulikuwa bado, si ajabu ulikuwa unafuatia posts as a guest. Hao "mashabiki wa leo wa Diamond" wanaomtukana Zari, kwa kiasi kikubwa ndio hao hao waliokuwa wanamtukana Penny!!!! Hao, mahaba yao yapo kwa Wema zaidi kuliko kwa Diamond!!
Nimekuvamia mahali...miss u too my friend kimyyyaaaaaa
upo wapi?
nimekuelewa sana na ndo ilivyo mfano mie simkubali mondi but nakubali mahusiano yake na zari the boss...!!!
Paula kilaki achana nao hao, wenye akili tumekuelewa jinsi ulivyo na busara nyingi..Kuna watu wakisikia neno malaya wanajua wanasemwa wao, hiyo inaitwa kujishuku ni kama kibaka akisikia kuna msako wa vibaka lazima akimbie mji.
Watoto ni wake. Siyo sababu ya kutamba.
Ally kiba roho yake siyo nzuri. Ukubwani atapata sshida.
Hata Michael Jackson aliweza kutengeneza watoto.
Watoto ni wake. Siyo sababu ya kutamba.
Ally kiba roho yake siyo nzuri. Ukubwani atapata sshida.
Hata Michael Jackson aliweza kutengeneza watoto.
we mdada nimekukubali sana umekua muungwana adi mwisho achilia mbali matusi uliyokua unatukanwa, nimefatilia post zako kuanzia mwanzo adi hapa umejitahidi kua na hekima bila chembe ya lugha chafu considered kua wote mliokua mnabishana ni ladies kwa ninavyowafahamu lazima wote mngeishia kurushiana mitusi na mwisho kuambulia ban bila kusahau kuwapa faida memberz wengine tunaopita kimyakimya. Safi sana hivyo ndivyo GREAT THINKERS ARE SUPPOSE TO BE. BIG UP!!!!!!nimeshajiongeza mkuu yule alitumwa, mwanzoni nikidhani kachanganya habari, kumbe stress are killing them
Thumb up... hebu mwite Paula kilaki tukasherehekee tuzo huku bhana! Yanini kupoteza muda na kambi isiyo na cha kuonesha? Tuzo pekee waliyopata ndani ya mwaka mmoja uliopita ni ya Nani Zaidi ya Radio One!!!!!
we mdada nimekukubali sana umekua muungwana adi mwisho achilia mbali matusi uliyokua unatukanwa, nimefatilia post zako kuanzia mwanzo adi hapa umejitahidi kua na hekima bila chembe ya lugha chafu considered kua wote mliokua mnabishana ni ladies kwa ninavyowafahamu lazima wote mngeishia kurushiana mitusi na mwisho kuambulia ban bila kusahau kuwapa faida memberz wengine tunaopita kimyakimya. Safi sana hivyo ndivyo GREAT THINKERS ARE SUPPOSE TO BE. BIG UP!!!!!!
yule alikuwa anatafuta umaarufu, ninashukuru sana i didnt buy her shits otherwise jana ndio ungekuwa mwisho wangu hapa jf kwani ningekula ban ya maisha.
yule alikuwa anatafuta umaarufu, ninashukuru sana i didnt buy her shits otherwise jana ndio ungekuwa mwisho wangu hapa jf kwani ningekula ban ya maisha.
bado yaleyale tu au mna mengine ?!!!
Kumbe huwa unayatafuta???endelea tutaona mwisho wake.
Post nimemuandikia Avemaria na ndio maana nime-mention ID yake! Good enough, wala haioneshi kwamba hiyo post inaweza kumuhusu mtu mwigine yeyote yule, either as I group or individually! Now the question: Are you Avemaria?! If YES, I'll answer your question, if NO, then am sorry to tell you that, consider the post as a none of your business because the post meant to Avemaria and I had similar conversation with her several weeks ago!
From your previous posts I know you are better than this. If you really think it was meant for Avemaria alone then you should have used private messages. Hivi watu mkoje? We unaweka posti public halafu ukijibiwa eti umemwandikia fulani. Kwa hiyo ulitaka tuone jinsi unavyojua kushauri??!!Post nimemuandikia Avemaria na ndio maana nime-mention ID yake! Good enough, wala haioneshi kwamba hiyo post inaweza kumuhusu mtu mwigine yeyote yule, either as I group or individually! Now the question: Are you Avemaria?! If YES, I'll answer your question, if NO, then am sorry to tell you that, consider the post as a none of your business because the post meant to Avemaria and I had similar conversation with her several weeks ago!