PICHA: Wananchi Kariakoo wamgomea aliyejitambulisha kama Polisi kuondoka na mtuhumiwa

Wakichomwa wawili ..watatu sikumoja hizi mambo ndio zitakuww mwisho wake ...
Ni kweli kabisa. Inawezekana majambazi wakatumia njia hii ya kukamata kamata raia bila uniform kama chaka la kufanya uhalifu wao.

Inashangaza eti askari atoke eneo lake na kwenda kumkamata mtu katika eneo la mwenzake bila uniform, RB wala taarifa ya mjumbe au mw/ wa serikali ya mtaa.
 
View attachment 3101028View attachment 3101030
police waliejitambulisha wa kituo cha magomeni wamefika kkoo muda huu wakataka kuondoka na mtuhumiwa wakaulizwa kesi yake nini awasemi rb namba awana wananchi wamegoma askari kuodoka na mtuhumiwa uyo aliye vaa kofia ndio askari na mwenzake uyo mweupe aliye simama ukutani
Naomba kuuliza! Kwa nini polisi wengine wanapoenda kumkamata mtuhumiwa hawataki kuvaa sare za polisi na kubeba vitambulisho?
 
Ni kweli kabisa. Inawezekana majambazi wakatumia njia hii ya kukamata kamata raia bila uniform kama chaka la kufanya uhalifu wao.

Inashangaza eti askari atoke eneo lake na kwenda kumkamata mtu katika eneo la mwenzake bila uniform, RB wala taarifa ya mjumbe au mw/ wa serikali ya mtaa.
Hata polis wapo wakitaka kukutemesha hela wanakuja
Kwa style hizo

Ova
 
View attachment 3101028View attachment 3101030
police waliejitambulisha wa kituo cha magomeni wamefika kkoo muda huu wakataka kuondoka na mtuhumiwa wakaulizwa kesi yake nini awasemi rb namba awana wananchi wamegoma askari kuodoka na mtuhumiwa uyo aliye vaa kofia ndio askari na mwenzake uyo mweupe aliye simama ukutani
Yeah,badilikeni mtakwisha, usikubari mwenzenu achukuliwe kizembe, maana akipotea mtaishia kuambiwa kajiteka mwenyewe au eti katembea na mke wa mtu,

Hata wahalifu pia ujifanya ni askari
 
Back
Top Bottom