Ralphryder
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 5,168
- 1,549
Huko ndio kufikia mwisho wa kufikiri sasa!! We ulishamwona Mungu?Tunamtegemea Mungu tu, Askari hawajawahi kua Msaada kwetu zaidi ya kututeka na kuua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko ndio kufikia mwisho wa kufikiri sasa!! We ulishamwona Mungu?Tunamtegemea Mungu tu, Askari hawajawahi kua Msaada kwetu zaidi ya kututeka na kuua.
Ni kweli kabisa. Inawezekana majambazi wakatumia njia hii ya kukamata kamata raia bila uniform kama chaka la kufanya uhalifu wao.Wakichomwa wawili ..watatu sikumoja hizi mambo ndio zitakuww mwisho wake ...
Naomba kuuliza! Kwa nini polisi wengine wanapoenda kumkamata mtuhumiwa hawataki kuvaa sare za polisi na kubeba vitambulisho?View attachment 3101028View attachment 3101030
police waliejitambulisha wa kituo cha magomeni wamefika kkoo muda huu wakataka kuondoka na mtuhumiwa wakaulizwa kesi yake nini awasemi rb namba awana wananchi wamegoma askari kuodoka na mtuhumiwa uyo aliye vaa kofia ndio askari na mwenzake uyo mweupe aliye simama ukutani
Tanganyika pameanza kuchangankaView attachment 3101028View attachment 3101030
police waliejitambulisha wa kituo cha magomeni wamefika kkoo muda huu wakataka kuondoka na mtuhumiwa wakaulizwa kesi yake nini awasemi rb namba awana wananchi wamegoma askari kuodoka na mtuhumiwa uyo aliye vaa kofia ndio askari na mwenzake uyo mweupe aliye simama ukutani
Nyie furahieni hiyo hali tu, mtakuja kupatwa maswaibu ya kucharangwa na mwizi halafu unamkuta sehemu unamuomba askari akukamatie atakataa uone tutakuwa tunaishije!
Mimi nalindwa na Mungu pekee, Polisi wanalinda CCM.Huko ndio kufikia mwisho wa kufikiri sasa!! We ulishamwona Mungu?
DunianiUnaishi Wapi Mkuu?
Hata polis wapo wakitaka kukutemesha hela wanakujaNi kweli kabisa. Inawezekana majambazi wakatumia njia hii ya kukamata kamata raia bila uniform kama chaka la kufanya uhalifu wao.
Inashangaza eti askari atoke eneo lake na kwenda kumkamata mtu katika eneo la mwenzake bila uniform, RB wala taarifa ya mjumbe au mw/ wa serikali ya mtaa.
Yeah,badilikeni mtakwisha, usikubari mwenzenu achukuliwe kizembe, maana akipotea mtaishia kuambiwa kajiteka mwenyewe au eti katembea na mke wa mtu,View attachment 3101028View attachment 3101030
police waliejitambulisha wa kituo cha magomeni wamefika kkoo muda huu wakataka kuondoka na mtuhumiwa wakaulizwa kesi yake nini awasemi rb namba awana wananchi wamegoma askari kuodoka na mtuhumiwa uyo aliye vaa kofia ndio askari na mwenzake uyo mweupe aliye simama ukutani
Duniani
We uliona wapi??Huko Duniani uliko hujawahi kuona kibaka anaibia Mtu mbele ya Askari na Askari hafanyi kitu?
We uliona wapi??
kichwani kwako umeme unaingia kidogo sanaHao wafunguliwe kesi ya kukataa kutii amri halali ya polisi na kuzuia polisi wasifanye kazi yao