Picha ya Kufungulia mwaka 2025 hii hapa, Imepatikana Mikocheni

Mwenyekiti wa saccos na genge lake
 
Sasa watu walitaka hao viongozi wasiende eneo la tukio wakati bado ni viongozi? Hapo lazima kukutana, then mkitoka hapo huyu kubwabwaja mitandoni yule redion

Kwanza mmoja wapo asingetokea hapo ina maana umma ungemchukulia ndio tatizo, hivyo kuhudhuria vikao na kutabasamu ni kuficha umbo la nje ili usije ukatengeneza hisia hasi huku ukimpa mpinzani wako credit
 
Doh! Nyie watu ni professional hypocrites!!

🤣 Haki aliewapa jina la Nyumbu aliwaza mbali sana!
 
Lumumba matumbo moto Chadema kawapiga chekundu cheusi.....
Kwamba umegoma kabisa kumuona mkandarasi wa hilo pose + tukio mpaka sasa?

Everyone and everything is well under scripted, question is…. Will they all play their parts as “directed” or some will catch feelings along the way like we witnessed in the past few days?!
 
Tundu Lisu afukuzwe waache utani, haiwezekani Dr.Slaa akamatwe kwa kusema maneno ya kichochezi halafu Lisu anaachwa kwa maneno yaleyale. Mama Abdul na Mwanaye wanamuonga kila Kiongozi asiyemtaka CHADEMA, lakini hana ushahidi.

Akifukuzwa chadema, polisi wamkamate naye wamuweke rumande kwa usalama wake. Na wakiweza wakamate ni kikundi chake cha wahuni chote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…