Kwa hali hii wanaoshabikia huyu mtu kuendelea kukaa ikulu kwakweli wakapwime akili
Si anakidhi mahitaji yao mkuu 'Chibolo'; hilo ndilo takwa lao lakuu kushinda jambo jingine lolote.

Hao hao unao wasema hapo, mbona wapo tayari hata kutoa roho za waTanzania wenzao mradi huyu mtu aendelee kubaki madarakani? Sasa hapo kweli bado unaamini ni swala la kumpenda tu huyo mtu?
 
Ni sawa na ile amri kumi ya mungu inayosema usitamani mwanamke asiye mke wako, yaani ukitamani tu umetenda dhambi
Kuna mambo magumu sana kuyatekeleza maishani; hili ni moja wapo!
Hata avae baibui, na afiche kila kitu; kuna ishara tu itakayo vuta kama sumaku.
 
BINGO!
There you have it!
 
Hiyo picha ya bonge, ni macho yangu au? Mbna ina mushkeli kidogo.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ni sawa na mtu akae uchi makusudi, na wewe umuangalie halafu kosa liwe lako wewe uliyemwangalia
Ndio wanataka kutuaminisha kuwa mtu akiiba vitu vyako unapaswa usipige kelele za mwizi maana utamdhalilisha πŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…