Lookmalasin
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 2,233
- 3,144
Mme wake yupo wapi, anakubaliana na hizi picha?Huyu hashindwi
Mme wake yupo wapi, anakubaliana na hizi picha?Huyu hashindwi
Tanzania mnalala saa ngapi? 😹😹😂😂😂😂
Unaitumiaje Kwasababu kwangu humu marekani ya vpn inasumbua sanakwa ambao vpn inawamalizia charge, mbadala upo fanya kutumia Tor browser unaingia JF unajiachia kama lile jamaa lilivokuwa linajiachia ikulu.
Kazi iendeleeHayo maadili Kwa Tanzania yameandikwa kwenye KATIBA GANI??
Watu mna siri kuna hili tena, odo alisema lini tena mbn tunanyimana hizi dhambi wakuu?Ummy haki aseme huyu mama chapombe wa kupindukia
Nimemuelekeza jana na ameanza kutuma tena yale mashudu yake.Mna uhakika lucas anaijua VPN?
Mbona hucheki kama yanafurahisha 🤣
We nae kama haupo jf bana izo mambo mbona za muda humuWatu mna siri kuna hili tena, odo alisema lini tena mbn tunanyimana hizi dhambi wakuu?
Haya maswali yako sidhani kama yanajibika.Nimeona mavazi 7 tofauti kwenye picha mbalimbali. Anafanya dili gani na Samia?
Kule Zimbabwe ana skendo kibao za kula pesa za umma mabilioni ya US dollar kupitia dili, tenda za silaha, umeme, gas, maji nk. Au ndio anawafundisha Samia na Abdul maujanja. Kwanini Samia watu wake wa karibu bi wahuni kama huyu na Angela Kizigha jambazi nwingine kupitia tenda za jeshi la JWTZ na Polisi.
Au anawasaidia kutakatisha pesa, kuwauzia silaha Abdul, Mafwele na Task Force yao ya utekaji, mauaji, utesaji, kujipa dili/tenda za serikali upigaji kama anavyofanya Zimbabwe?