Picha za Ikulu, Mitandao, na Maadili: Ni nani aliyevunja kanuni?
1000220371.jpg
1000220370.jpg
1000220369.jpg
1000220368.jpg
1000220367.jpg
 
Unaitumiaje Kwasababu kwangu humu marekani ya vpn inasumbua sana
download tu hiyo browser halafu enjoy maana yenyewe haijui kama TCRA wanafungia mitandao, haina haja ya vpn maana browser yenyewe inajitosheleza uta browse safely kokote utakotaka
 
AIBU KUU KWA TAIFA, NA TAASISI YA URAIS KUINGIZWA KTK KASHFA NZITO NA VYOMBO VYETU

Wakulaumiwa bila kupepesa macho ni

  • mnikulu
  • Kurugenzi ya mawasiliano ikulu
  • chief protocol Officer foreign,
  • Ofisi Binafsi ya Rais OBR,
  • uhamiaji,
  • Idara ya usalama wa taifa TISS
Idara hizi nyeti na maofisa wake wanapaswa kulaumiwa kwa kuruhusu mhuni kutoka Zimbabwe kuingia nchini na kumpatia miadi aonane na Rais. Waliweza kufukuza wanaharakati kutoka Kenya kuhudhuria kesi ya uhaini ya Tundu Lissu lakini wameshindwa kumfukuza mhuni wa Zimbabwe.

JamiiForums imetumika kama mbuzi wa kafara kwa makosa makubwa yaliyofanywa na watu walio karibu na taasisi ya urais kuhakikisha mkuu wao hawekwi katika mazingira ya kumpunguzia heshima .

View attachment 3467099
Zimbabwean businessman & socialite. Wicknell Chivayo 'biggie / bonge ' is a Zimbabwean businessman and socialite who was convicted in 2004
Inaonekana kazi kupiga picha na marais tu wa Africa
 
Hivi serikali/TCRA wanajisikiaje? vile wanafungia JF halafu sisi tunaendelea kama vile hawajafungia tena tunaleta dharau kama lile jamaa lilivikuwa linajiachia ikulu.
 
TCRA wanaona JF ni rahisi kuifikia kwa kuwa imo humuhumu nchini, hebu waende X marekani kama wataweza waone muziki wake!
 
Kiongozi wa nchi unakuwa vipi na mahusiano ya karibu kiasi hiki na mhalifu? Tena mhalifu amejiachia kabisa ofisini/nyumbani kwako! Kweli tutafika kama Taifa, kwa aina hii ya viongozi?
Best wake mwingine ni Angela Kizigha, Fisadi, jambazi mwandamizi kitambo sana.
Huyu hana cheo chochote rasmi ikulu. Lakini inaonekana ana mamlaka makubwa sana awamu hii. Angela Kizigha alikuwa na kesi kuhusu tenda ya sare za polisi. Samia ameifuta.

Huwezi kuwa na mahusiano ya karibu hivi na wahalifu wabobevu kama hawa kama na wewe pia sio muhalifu mbobevu.
 
Back
Top Bottom