😂😂😂😂Ila bonge kaleta taharuki 😹
Inasikitisha sana anatumia rasilimali zetu vibayaHuyu bibi amegueza ikulu bar yake
Huyu hashindwiHaha labda ndio maana Bashite anapeta kwenye awamu hii wenzake wote insiders wa awamu ya tano wamewekwa pembeni. Inaonekana ana mahusiano ya karibu sana na Samia.
Ana umuhimu gani mpaka aonane na rais Kila mara imagine Kila nguo mpya ni siku mpya je alikuwa na semina hapo jumba jeupe? Na kwanini huyo mgeni ameamua kuzirusha kama sio kumkosea mwenyeji wake adabu ?Duuuh
Kwa kweli.Ana umuhimu gani mpaka aonane na rais Kila mara imagine Kila nguo mpya ni siku mpya je alikuwa na semina hapo jumba jeupe? Na kwanini huyo mgeni ameamua kuzirusha kama sio kumkosea mwenyeji wake adabu ?
Hapa amefunga kanga inaonekana kama alikuwa ametoka bafuni
Tayari nchi ipo shimoni, kwenye hali mbaya sana. Viongozi walioapa kulinda nchi, maslahi ya Taifa kama Usalama, Mahakama, Polisi, jeshi, bunge, ikulu wote sasa wamegeuka na kugeuzwa.Hii nchi inapoelekea ni kubaya
Hahaha mlitaka muone peke yenu jamani, kuzuri mna shear na ndugu zenu humu huo ndio uungwana.Ziko humu humu
Watu wako nchi za nje na VPN wame repost
Wakikusikia, hata kama ni ukweliForm four felia ni hamnazo kabisa.
😅😅😅Hizo picha zimepostiwa X zamani twitter na mwenye nazo, sjui ulimrushia wasap au kwa bluetooth, lawama unawala JF wakati ziko kila kona.
Bibi chaudele ubongo wake ni mdogo sana,