Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 4,095
- 13,016
Dah! Mwamba kajiachia kama yupo sebuleni kwako.
Bonge kachafua hali ya hewaIla bonge kaleta taharuki 😹
Vilaza sasa wapo hata kwenye taasisi ya uraisiSema nchi hii vilaza wanazidi kuongezeka badala ya kupungua period
Mabonge hayana kifua cha kuhifadhi siri 😹😹Bonge kachafua hali ya hewa
Ziko wapi hizo picha na sisi tuzioneHizo picha zimepostiwa X zamani twitter na mwenye nazo, sjui ulimrushia wasap au kwa bluetooth, lawama unawala JF wakati ziko kila kona.
Bibi chaudele ubongo wake ni mdogo sana,
Sijapenda😂Ana sababisha mabonge waonekane hawana akili🙌
Na hawana
angeishia kuiba tu uhuru wa kutoa maoni akatuachiaMimi nipo london kwa hisani ya VPN serikali ya samia kunikamata mpaka itume vibaka wake huku wingereza na wakifika nahamia niuyok marekani kwa trumpView attachment 3467092
Hicho kibonge nyanya kinaonekana kinajiamini sanaKusambaa kwa picha za Rais Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wa kiume Ikulu kumezua gumzo kubwa mitandaoni, likizua maswali mazito kuhusu heshima ya Ofisi ya Rais na maadili ya jamii.
View attachment 3467069
Hoja ya msingi si tu uwepo wa mgeni huyo, bali zaidi namna alivyovaa na mkao wake, ambao baadhi ya wananchi wameutafsiri kama "utovu wa nidhamu" na ukosefu wa heshima kwa taasisi kuu ya nchi.
View attachment 3467073
Uchambuzi wa kina unaonesha kuwa, wakati hakuna mwongozo rasmi wa Ikulu unaoainisha mavazi ya wageni, umma ulijaza pengo hilo kwa kutumia kanuni zisizoandikwa za jamii.
View attachment 3467071
Jamii ya Kitanzania, hususan maeneo yenye utamaduni wa kihafidhina kama Zanzibar, inathamini sana uvaaji wa staha na unyenyekevu. Matarajio haya ya kijamii yakawa ndio kipimo kilichotumika kuhukumu picha hizo. Hali hii inaonyesha mgongano wa kimantiki ambapo matarajio ya umma yanakinzana na ukweli wa kutokuwepo kwa sheria rasmi za itifaki.
View attachment 3467072
Mgogoro huu uliongezeka pale serikali ilipojibu kwa kulaani usambazaji wa picha hizo, badala ya kutoa ufafanuzi kuhusu mgeni husika au muktadha wa mkutano. Ofisi ya Rais hutoa taarifa za mara kwa mara kuhusu shughuli zake na wageni rasmi, kama vile upokeaji wa mabalozi, lakini katika tukio hili kulikuwa na ukimya.
View attachment 3467073
Majibu ya serikali yalionekana kushughulikia "tatizo lisilo sahihi." Badala ya kutoa ufafanuzi juu ya maswali ya "kwa nini picha hizi zimepigwa na mgeni amevaa hivi?", serikali ilijibu, "kwa nini mnasambaza picha hizi?" Bwana Chivaro pia alipakiwa picha hizi kwenye akaunti zake za Twitter na Instagram je na yeye wamemkemea pia? Au ndio DOUBLE STANDARDS?
View attachment 3467074
Ukimya huu au majibu yasiyokidhi, katika enzi ya dijitali, huchochea uvumi na kujenga hisia kuwa kuna kitu kinafichwa, hivyo kuongeza kasi ya mjadala.
View attachment 3467071
Tukio hili linaathiri taswira ya Rais, ikionyesha mvutano kati ya uongozi wa kisasa na matarajio ya waajiri wake ambao ni watanzania.
View attachment 3467069
Picha zinazomuonesha akishirikiana kwa urahisi na wananchi, kama vile kupiga picha za kawaida, zimekuwa ni jambo la kawaida. Hata hivyo, picha hii imesababisha baadhi ya wananchi kuhoji mwelekeo wa uongozi, wakiamini kuwa heshima ya Urais inahusiana moja kwa moja na maadili ya mtu binafsi na familia.
View attachment 3467074
Serikali inatumia nguvu kuwaaminisha kuwa tatizo sio Rais kupiga picha bali ni watu waliosambaza huku Chivaro ambaye pia kazichapisha hajapokea malalamiko yoyote? DOUBLE STANDARDS KILA WAKATI.
Kilaza ni kilaza tuHizo picha zimepostiwa X zamani twitter na mwenye nazo, sjui ulimrushia wasap au kwa bluetooth, lawama unawala JF wakati ziko kila kona.
Bibi chaudele ubongo wake ni mdogo sana,
Ziko humu humuWengine hatujaziona wekeni hapa