Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Unafikiri hizi za sasa watazimaliza kwa makelele?
Walifanya kimyakimya na waliozimaliza wakamaliza kimyakimya!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walifanya kimyakimya na waliozimaliza wakamaliza kimyakimya!!
WE jamaa sio mtumishi wa umma alafu unaandika porojo tu hapa. Baadhi ya vitu ulivyoandika havina ukweliCCM YA VILAZA HIYO
KAMA HII YA SASA
NO AJIRA
NO SALARY INCREMENT
POOR EDUCATION
....sijui wakati huo nao walikua wanakusanyika na kuipigia ngoma na wakata mauno au ilikua kimya kimya!... Sijui na nchi zingine wakinunua ndege uwa wanaandaa sherehe mpaka na ubwabwa unapikwa au ni sisi tu ndo tunaonekana wakuja!
WE jamaa sio mtumishi wa umma alafu unaandika porojo tu hapa. Baadhi ya vitu ulivyoandika havina ukweli
Kwani Nyerere ni benchmark ya uongozi nchi hii? Mbona ni loser mzuri tu.
Mtu anaweza asijenge kwao lakini akatapanya rasilimali za nchi ovyo!
Nadhani katika hizo ndege zote hapo juu ikiyokuwa ya Tanzania ni hiyo yenye twiga tuu, zingine ni zile za Alliance iliyoundwaga na ATC, SA na Uganda
Alliance zilibaki KenyaNadhani katika hizo ndege zote hapo juu ikiyokuwa ya Tanzania ni hiyo yenye twiga tuu, zingine ni zile za Alliance iliyoundwaga na ATC, SA na Uganda
Alliance zilibaki Kenya
Zamani kulikua na serikali sio nchi...skuhizi tuna nchi ya TanzaniaHivi nao walikuwa Ccm au walikuwa chama kingne
Nadhani katika hizo ndege zote hapo juu ikiyokuwa ya Tanzania ni hiyo yenye twiga tuu, zingine ni zile za Alliance iliyoundwaga na ATC, SA na Uganda
Kuna mahali hizi taarifa zipo nikasome?
Maana kwa mujibu wa mahali fulani niliwahi kusoma ambapo Andy Chande yule mzee wa wajenzi huru alielezea chimbuko la Any Time Cancellation "ATC", ambapo ilianza na vindege vidogo dogo vilivyosalia na ndege kubwa mbili(Boeing 737) za mkopo toka benki ya US...
Ndege nyingine zozote kubwa zilikuwa ni za kukodishwa toka Ethiopia, SA na kwingineko...(na hii ni wakati wa Mwinyi)
Jakaya Kikwete: Mzee Nyerere alituachia ndege za Taifa 14, kuna kipindi zimeisha hapa kati
Rais wa awamu ya Nne Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete katika kutathmini miaka mitatu ya Rais Magufuli ikulu amesifu juhudi zake za kuwa jasiri kurejesha heshima ya Taifa kwa kununua ndege mpya 4, ambazo zote zinafanya kazi za usafirshaji, Kasema yeye kipindi chake alishindwa sababu usimamizi wa...www.jamiiforums.com
Labda kwa madeni!Unafikiri hizi za sasa watazimaliza kwa makelele?
Usukuma ni kitu kibaya sana
Yaani hayo makitu ni kawaida sana kwa serikali
KabisaNakumbuka tulikuwa na Boeng 737 ambayo iliwahi kutekwa miaka ya 80 na tulikuwa na fokker