Picha za Rais Samia baada ya kuswali Sala ya Eid El-Fitri tarehe 22 Aprili, 2023

Ukiangalia mfano picha ya kwanza na ya tatu utaona kina mama hawana time na rais. Hakuna hata anayetaka kupeana nae walau mkoni kutakiana eid njema.

Maana yake ni hali halisi waliyo nayo watanzania kwa sasa. Watu wameenda kuswali kutimiza wajibu wa kiislam ila wakati yeye anafurahia kwenda kula pilau kuna wengine mpaka sasa wanasubiri salio liingie wakanunue mchele wawapikie watoto chakula.

Hali ngumu na vyakula vipo juu na katika hili wanaoumia ni kina mama.
 
Leo ni Siku Kuu huyo shetani mtie mfukoni hana nafasi. Achana nae anakujaza hisia mbaya. #Eid Mubarak.πŸ™πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…