Picha za Rais Samia baada ya kuswali Sala ya Eid El-Fitri tarehe 22 Aprili, 2023

Picha za Rais Samia baada ya kuswali Sala ya Eid El-Fitri tarehe 22 Aprili, 2023

Leo ni Siku Kuu huyo shetani mtie mfukoni hana nafasi. Achana nae anakujaza hisia mbaya. #Eid Mubarak.[emoji120][emoji120][emoji120]
Sasa ungewaambia hao waumini. Maana wanaonekana pichani. Katika hali ya kawaida unaweza usiamini kuwa huyo ni rais wa nchi anapita mbele yao.

Picha inasema sio mimi shekhe.
 
Mama anaupiga mwingi hadi kupendeza:

Tangazo 5.JPG
 
Marais wetu huwa wako mstari wa mbele kukuza viwanda vyetu kwa kununua bidhaa zetu, tusiwafikirie vibaya kuwa wanapenda kukuza viwanda vya mabeberu.
 
NIMESHANGAA HIYO PICHA, YANI HAO WANAWAKE WALIOZUNGUKA NYUMA YA RAISI HAWANA MUDA NAYE KABISA WANAENDELEA NA MAMBO YAO

HII INAONYESHA JINSI WATANZANIA WAMECHOKA NA HALI DUNI NA UFISADI MKUBWA NCHINI.

WATANZANIA WAMEANZA KUAMKA
 
Wanamda wa kumlinda,..ondoa chuki zako binafsi
 
Utasahangaa umo ndani na bunduki zimefichwa kwa ajili ya ulinzi.
 
Ukiangalia mfano picha ya kwanza na ya tatu utaona kina mama hawana time na rais. Hakuna hata anayetaka kupeana nae walau mkoni kutakiana eid njema.

Maana yake ni hali halisi waliyo nayo watanzania kwa sasa. Watu wameenda kuswali kutimiza wajibu wa kiislam ila wakati yeye anafurahia kwenda kula pilau kuna wengine mpaka sasa wanasubiri salio liingie wakanunue mchele wawapikie watoto chakula.

Hali ngumu na vyakula vipo juu na katika hili wanaoumia ni kina mama.
Aliyekwambia hao wasiotaka kumpa mkono ni raia nani?
 
NIMESHANGAA HIYO PICHA, YANI HAO WANAWAKE WALIOZUNGUKA NYUMA YA RAISI HAWANA MUDA NAYE KABISA WANAENDELEA NA MAMBO YAO

HII INAONYESHA JINSI WATANZANIA WAMECHOKA NA HALI DUNI NA UFISADI MKUBWA NCHINI.

WATANZANIA WAMEANZA KUAMKA
Yaani hata angepita mufti sheikh Zuber wangeshtuka. Ila mama kama hawamuoni. Sio hali ya kawaida mahali popote duniani rais anapopita karibu ya watu hivyo na kupotezewa hata kwa kugeuziwa uso tu.
 
Hapo kuna bi dada namjua Mwanaidi mtu wa ibada na alikua kichwa sana. Ni moja wa watu wa usalama. Alifanya pia officers' course Monduli jeshini.
 
Hapo kuna bi dada namjua Mwanaidi mtu wa ibada na alikua kichwa sana. Ni moja wa watu wa usalama. Alifanya pia officers' course Monduli jeshini.
Mkuu yule Mama mpambe wa raisi sijamuona au naye leo kavaa mashungi kichwani?
 
Back
Top Bottom