Picha za Rais Samia baada ya kuswali Sala ya Eid El-Fitri tarehe 22 Aprili, 2023

Picha za Rais Samia baada ya kuswali Sala ya Eid El-Fitri tarehe 22 Aprili, 2023

Ukiangalia mfano picha ya kwanza na ya tatu utaona kina mama hawana time na rais. Hakuna hata anayetaka kupeana nae walau mkoni kutakiana eid njema.

Maana yake ni hali halisi waliyo nayo watanzania kwa sasa. Watu wameenda kuswali kutimiza wajibu wa kiislam ila wakati yeye anafurahia kwenda kula pilau kuna wengine mpaka sasa wanasubiri salio liingie wakanunue mchele wawapikie watoto chakula.

Hali ngumu na vyakula vipo juu na katika hili wanaoumia ni kina mama.

Sukuma gang mmeanza?!
 
Mhandisi wa hili jengo la msikiti hakuona kuna via alama vinavyokaribiana sana na alama ya msalaba?
Screenshot_20230422-123920.png
 
Hivi mkuu hao wadada wanaweza kugonga ngumi sawa sawa ukisema upange nao mkono ile ki kweli kweli?
Usithubutu mzee,mtu kasomeshwa ngumi na serikali miaka mitano nchi mbalimbali...Ila akiwa manzi yako anakukatia kiuno Kama siyo yeye!!
 
Back
Top Bottom