Sasa ungewaambia hao waumini. Maana wanaonekana pichani. Katika hali ya kawaida unaweza usiamini kuwa huyo ni rais wa nchi anapita mbele yao.Leo ni Siku Kuu huyo shetani mtie mfukoni hana nafasi. Achana nae anakujaza hisia mbaya. #Eid Mubarak.[emoji120][emoji120][emoji120]
Hilo ni dirisha la kanisa katoliki parokia ya mtakatifu maiko, angalia na rangi za vioo.Mhandisi wa hili jengo la msikiti hakuona kuna via alama vinavyokaribiana sana na alama ya msalaba?
View attachment 2596095
Amependeza Mashaallah 🙏🙏Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa anatoka katika Msikiti Mkuu wa BAKWATA (Mfalme Mohamed VI wa Morocco) uliopo Kinondoni Jijini Dar es Salaam mara baada ya kuswali Sala ya Eid El-Fitri tarehe 22 Aprili, 2023.
View attachment 2595954
View attachment 2595955
View attachment 2595956
Kweli kabisa mama hajawahi kukosea kupendeza,...big up 👏👏amependeza sana nimependa viatu vyake vyeupe
Wanamda wa kumlinda,..ondoa chuki zako binafsiNIMESHANGAA HIYO PICHA, YANI HAO WANAWAKE WALIOZUNGUKA NYUMA YA RAISI HAWANA MUDA NAYE KABISA WANAENDELEA NA MAMBO YAO
HII INAONYESHA JINSI WATANZANIA WAMECHOKA NA HALI DUNI NA UFISADI MKUBWA NCHINI.
WATANZANIA WAMEANZA KUAMKA
Hahahahaaaaa hapo unaweza sema yupo na waumini wenzie 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa anatoka katika Msikiti Mkuu wa BAKWATA (Mfalme Mohamed VI wa Morocco) uliopo Kinondoni Jijini Dar es Salaam mara baada ya kuswali Sala ya Eid El-Fitri tarehe 22 Aprili, 2023.
View attachment 2595954
View attachment 2595955
View attachment 2595956
MashaaAllah 😍❤️❤️Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa anatoka katika Msikiti Mkuu wa BAKWATA (Mfalme Mohamed VI wa Morocco) uliopo Kinondoni Jijini Dar es Salaam mara baada ya kuswali Sala ya Eid El-Fitri tarehe 22 Aprili, 2023.
View attachment 2595954
View attachment 2595955
View attachment 2595956
Jaribu kuwagusa uone show ya ushungi ilivyo 🤣Naona kazungukwa na wagonga ngumi waliojivika ushungi
Aliyekwambia hao wasiotaka kumpa mkono ni raia nani?Ukiangalia mfano picha ya kwanza na ya tatu utaona kina mama hawana time na rais. Hakuna hata anayetaka kupeana nae walau mkoni kutakiana eid njema.
Maana yake ni hali halisi waliyo nayo watanzania kwa sasa. Watu wameenda kuswali kutimiza wajibu wa kiislam ila wakati yeye anafurahia kwenda kula pilau kuna wengine mpaka sasa wanasubiri salio liingie wakanunue mchele wawapikie watoto chakula.
Hali ngumu na vyakula vipo juu na katika hili wanaoumia ni kina mama.
Wewe, you are among the people who can not think!Ngoja ije ila team ya Pingapinga FC
Yaani hata angepita mufti sheikh Zuber wangeshtuka. Ila mama kama hawamuoni. Sio hali ya kawaida mahali popote duniani rais anapopita karibu ya watu hivyo na kupotezewa hata kwa kugeuziwa uso tu.NIMESHANGAA HIYO PICHA, YANI HAO WANAWAKE WALIOZUNGUKA NYUMA YA RAISI HAWANA MUDA NAYE KABISA WANAENDELEA NA MAMBO YAO
HII INAONYESHA JINSI WATANZANIA WAMECHOKA NA HALI DUNI NA UFISADI MKUBWA NCHINI.
WATANZANIA WAMEANZA KUAMKA
Mkuu yule Mama mpambe wa raisi sijamuona au naye leo kavaa mashungi kichwani?Hapo kuna bi dada namjua Mwanaidi mtu wa ibada na alikua kichwa sana. Ni moja wa watu wa usalama. Alifanya pia officers' course Monduli jeshini.