nafikiri sii vema sama kutoa kauli ambayo hujaifanyia utafiti wa Kutosha, usemacho kina walakini. Wamaasai ni wananchi ambao wanapaswa walidwe kwa mujibu wa katiba. Dialoge hutumika kutekeleza hata miradi vijijini kwa kutafuta wananchi kuunga mkono. Je philosophy tumeipeleka wapi? Eti kuna watu ambao sii wamasai hao ndio watolewe ila wenye ardhi yao wakubaliena nao sii kutumia nguvu. Kumekuwa na kauli tata nyingi kuhusu hili na sii lam leo karibu awamu zote tangu Ali Hassan Mwingi,marais waliofuata walipiga danadana hadi Rais wa sasa. Ananguvu nyingi. Naamini kabisa hili linaweza kutatulika kwa kufikia win win situation.Serikali na Taifa lina haki ya kulinda rasilimali zake. Sasa kama hawataki kutii mamlaka halali lazma hazina ya Taifa Ngorongoro ilindwe kwa gharama yoyote. Ngorongoro na Loliondo Sio mali ya Wamasai wengi ni wahamiaji na wavamizi tuu waondoke mara moja. Vinginevyo watachakaa.