Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yule domo sio wa kumuaminiWaziri mkuu amesema hakuna matukio kama hayo ni shwari na amani tu
Hakuna ardhi ya masai Tanzania Ni vizuri kuhamishwaWe niMwarabu wa wapi mkuu??
Salaam Wakuu,
Kuna picha zinazoonesha Wananchi wa Tanzania Jamii ya Wamasai wakiwa na majeraha. Haijajulikana picha zimepigwa wapi saa ngapi.
Naamini Vyombo vya Usalama vitatolea ufafanuzi ili kuondoa taharuki katika Jamii.
MY TAKE:
Damu ya Mtu haiendi bure.
Pia soma:
Wamasai Ngorongoro: Spika ataka 'aliyechukua clip' ashughulikiwe, taasisi zilizosajiliwa nchini kufata
Bungeni: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa asema hakuna mgogoro kati ya Wafugaji na Serikali Loliondo
WANANCHI WALIOJERUHIWA NA POLISI KATIKA KIJIJI CHA OLOLOSKWAN KWA RISASI TAREHE 10 JUNI 2022
1 Ngormoj Masago Mwanamke Amepigwa risasi Mguuni na chini ya Tumbo
2 Partalala Parmwat Mwanaume Amevunjwa Mguu
3 Koote Kaura Mwanaume Amevunjwa Mguu
4 Sereman Lukeine Mwanaume Amevunjwa Mkono
5 Kiteleshon Masago Mwanamke Begani
6 Olengiyo Mwanaume Amevunjwa Mguu
7 Njipai Nginai Mwanaumke Amevunjwa mguu
8 Mtoto wa Denis Reya Mwanaume Amevunjwa mguu
9 Orkiliyai Saingeu Mwanamke Amevunjwa Mkono
10 Olesukuli Lukeine Mwanaume Kichwa
View attachment 2256224View attachment 2256225View attachment 2256226View attachment 2256227View attachment 2256228View attachment 2256229View attachment 2256230View attachment 2256231View attachment 2256232
View attachment 2256393View attachment 2256394
View attachment 2256336
View attachment 2256286
Kwamba huyo amepigwa na POLISI?? Una uhakikaMajaliwa anaelewa maana ya machafuko?View attachment 2257103
Ujinga wako unasingizia Wana harakatiHiki ndicho wanaharakati walikuwa wanakitafuta, wameshapata pa kuanzia na watapata pesa sana kwa kupitia hii.
Fair enough....Wamasai wasiwe wabishi, wameshatengewa eneo la kuhamia shida nn? Wanyama hawawezi kuishi na binadam over!
Achana naye huyo hao ndiyo wanaosemaga Lisu kapigwa risasi na chademaUnamaanisha wanaharakati ndio waliowapiga masai risasi.
Kweli eeh. Ndiyo maana wazungu awapati shida kutawala jitu leusi.Hizo picha huenda ni za Kenya
Mwarabu yupo kama kivuli tu kuna mzee wa mjini ndio yuko hapo kila sehem yupo anapanga vivuli vyake tuDuh.. hili balaaaa.
Hii yote kisa Mwarabu?
Si wampatie sehemu nyingine!?
Jiwe mbona alivunja nyumba za watu maeneo mengi tena kukiwa na zuio la mahakama na mlikaa kimya tu na leo hii tunazifurahia barabara. Acheni serikali ifanye kazi yakeHakuna haja ya kuitana fala...
Mimi sio mjuaji bali nimejaribu kulitazama hili jambo kwa macho makali ambayo wewe huna.
Next time jitahidi kutumia lugha nzuri...nadhani tupo pamoja....
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Hadi una mwagika, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mama anaupiga mwingi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bas lina laana hili babuuu. MsieeeewHuyu Baba ndio aliyehonga CCM ili wauze ngorongoro