Picha zinatisha: Ni picha za Wamasai waliojeruhiwa na wengine damu zinavuja

Picha zinatisha: Ni picha za Wamasai waliojeruhiwa na wengine damu zinavuja

Vipi pesa za kwenye contena na wewe unazo nini..?

Mbona muoga muoga sana? Subiri 2025, ni lie anyonga mmoja baada ya mwingine!

Tunahitaji kiongizi aliye zaidi ya JPM maana wajinga mmezaliwa tena!
Kwani 2025 ndio itafanya nini? Kwamba huo mwaka tufanye upinzani wanashindwa kwa hiyo wapinzani hawatasimamia sheria si ndio? 😂😂

Acheni kudanganya wajinga nyie pimbi.
 
Mkuu, umeandika vyema, lakini mgogoro unaohusisha wananchi ni wajibu wa serikali kuuchukulia kwa uzito mkubwa zaidi kuliko inavyofanya sasa.

Kuamini tu kuwa kwa kuwa wao ni serikali wana haki ya kutumia mabavu siyo sahihi hata kidogo.

Isitoshe, kama kuna uhusiano wowote wa mwekezaji toka nje ya nchi anayesababisha serikali ikose weledi wa kushughulika na matatizo ya wananchi wake, hilo pekee linafanya serikali kuwa na sura mbaya kabisa.

Wajibu wa kwanza kabisa wa serikali ni kulinda maslahi ya wananchi wake kuliko uwekezaji, ambao unaweza kufanyika katika mambo mengine mengi nchi yetu iliyojaliwa kuwa nayo.

Maisha ya wananchi wetu ni muhimu zaidi kuliko uwekezaji wowote ule. Kwani maana ya kuwekeza ni nini, kama si njia tu ya kutafuta kuinua maisha ya wananchi wetu!
Umeandika vema, lakini kama Watanzania pia tunapaswa kuwa makini na propaganda. Serikali kubadili matumizi ya maeneo sio jambo geni, ilifanyika kwenye bonde la Ihefu, watu walihamishwa kulinda vyanzo vya maji ya mto Ruaha; hakukuwa na kelele kama hivi sasa. Bagamoyo ardhi nyingi tu imechukuliwa kwa ajili ya ujenzi wa bandari, hakukuwa na kelele kama hivi sasa; what is special about wamasai kwamba hawatakiwi kutikiswa?

Tuachane na hilo la "wanaenda kupewa waarabu", swali la muhimu ni serikali haina ruksa ya kubadili matumizi ya ardhi/rasilimali? Hii ya kusema hivi ni vyangu peke yangu sio sawa. Watu wa Mtwara walipigwa mabomu walipotaka kusema "gesi yetu haitoki", sikusikia wanaharakati wakipiga kelele. Ardhi ni rasilimali kama zilivyo nyingine, na kama serikali imeona kuna umuhimu wa kulinda au kubadili matumizi yake, ipewe hiyo nafasi mradi tu sheria zifuatwe.

Kuhamasisha sana watu wawe against the gov all the time, ipo siku hiyo serikali itakuwa chini ya kina Lissu, watashindwa kuitawala nchi. Pia kuna watu wako kazini, hizi picha a lot of people are going to make a lot of money.
ChangeTanzania.jpeg
 
Utawala unaua Raia wake ili kuchukua fedha za waarabu.

Utawala wa kinyama sana huu.
Ndo hivyo,wewe unatakaje?

Kwani Maasai ndio wa Kwanza kuwa evicted hapa Duniani? Hii ni njia ya Uhifadhi Duniani kote kuanzia Asia,America na Africa👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220611-081458.png
    Screenshot_20220611-081458.png
    98.4 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220611-081546.png
    Screenshot_20220611-081546.png
    123 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220611-081603.png
    Screenshot_20220611-081603.png
    67.8 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220611-081135.png
    Screenshot_20220611-081135.png
    156.6 KB · Views: 4
Hehehe...eti picha zinatisha, ni hizo tu? na ni hao tu? sasa naanza kumwelewa PM.
 
Huyu Baba ndio aliyehonga CCM ili wauze ngorongoro
Haaaaa[emoji23] ahonge ccm ya nini ?? Hao ndiyo wanao kimiliki hicho chama ....wengine waliopo chamani ni vibaraka wao tu ....huo ndiyo ukweli kwa yoyote mwenye akili
 
Duh.. hili balaaaa.

Hii yote kisa Mwarabu?

Si wampatie sehemu nyingine!?
Serikali yetu ina mahusiano ya karibu sana na wawekezaji/matajili mkuu. Maskini hawana mchango wowote katika uchumi wa hii awamu yetu ya sita hivyo hakuna sababu ya kuwa na ukaribu nao. Hata kura tunatoka za matajili tu.
 
Utawala unaua Raia wake ili kuchukua fedha za waarabu.

Utawala wa kinyama sana huu.
Mkuu hivi hata kwa akili ndogo tu hivi yale majeraha ni ya risasi? au vitu vyenye ncha???
Mtaulaumu utawala bure tu !
 
Mnatuletea picha za zamani wakati waMasaai wanapigana na Wasonjo nyie watu. Wasonjo ni kabila dogo lililoko Ngorongoro sehemu inaitwa Oldonyosambu (Sale) ni wakali balaa. Masai anapigagwa mpaka anashika adabu.
Peleka hii kwenye group la UVCCM.
 
Halafu eti mnamuita mama, WTF?
Kwahiyo huwa mnapenda makusudi kugomea mamlaka ili mamlaka ikitumia mamlaka yake ya kidola muanze kutafuta huruma kama hivi sindiyo? Wewe unaambiwa ondoka kwa hiyari serikali inakupa sehemu ya kuhamia unajifanya nunda ukiondolewa kwa nguvu unalalamika huoni ni kujitakia?
 
Back
Top Bottom