Picha zinatisha: Ni picha za Wamasai waliojeruhiwa na wengine damu zinavuja

Picha zinatisha: Ni picha za Wamasai waliojeruhiwa na wengine damu zinavuja

Kumbe ushahamishwa before,,,,,,umekua katili ulionewa so na wengine waonewe tu....

Kwanza Nyerere alikuwa Mzalendo, sio ufisadi wa serikali zilizofuata

Unaandika shit, kwani hakuna mwarabu kweli...???

Na yes wamekaa muda mrefu, at least mlivyohamishwa kwenye Ujamaa ilikuwa kwa manufaa ya watanzania wengine na sio ya mwarabu!

Unaita watanzania wenzio mbuzi?!..sidhani kama uko sawa MKuu..

Mark hii posti, hakuna mmasai atakayeenda Handeni

Na mama ataenda kwa waarabu na kusema kishasanuka...

Kwa heri, LOL
Ni mpumbavu tu ndio atakuja na hoja kama yako ya kijinga mara ooh waarabu mara wazungu.

Mnaokoteza hoja za kijinga mnajaza mitandaoni. Hoja ya msingi ni kulinda hifadhi ambayo sasa iko hatarini kutoweka kutokana na idadi kubwa ya watu ambao sio tu wanazidi kuzaliana pale bali pia wanajienga makazi ya kudumu kabisa hali inayopelekea kuhama kwa wanyama.

Kakaeni na wale mbuzi muwaambie serikali sio ukoo wa Orokosoi, kwamba utaamka usiku ukampige na sime. Watakula kichapo hawajawahi ona.

Wajazeni ujinga au nendeni kwa NGOs kusaka pesa ila tutawahamisha na kichapo kizito tu.
Kadiri wanavyoongezeka serikali inalazimika kusogeza Shule, Zahanati, barabara nk hivyo si sawa kufanya hayo mbugani.
Wametengewe eneo zuri, wamejengewa vizuri wamewekewa bwawa la kusaidia mifugo yao, wamepekelewa maji safi ya kunywa afu bado unalazimisha kubakia.

Afu we mbuzi hauna cha kuitishia serikali eti hawatohama. Nikuhakikishie ndio tunaenda sasa kutembeza kichapo na kubomboa vizizi vyao. Na yeyote atayeonekana hifadhini atahesabika kama jangiri na unaelewa hukumu za majangiri wakiingia kwenye line.
 
Ni mpumbavu tu ndio atakuja na hoja kama yako ya kijinga mara ooh waarabu mara wazungu.

Mnaokoteza hoja za kijinga mnajaza mitandaoni. Hoja ya msingi ni kulinda hifadhi ambayo sasa iko hatarini kutoweka kutokana na idadi kubwa ya watu ambao sio tu wanazidi kuzaliana pale bali pia wanajienga makazi ya kudumu kabisa hali inayopelekea kuhama kwa wanyama.

Kakaeni na wale wamasai muwaambie serikali sio ukoo wa Orokosoi, kwamba utaamka usiku ukampige na sime. Watakula kichapo hawajawahi ona.

Wajazeni ujinga au nendeni kwa NGOs kusaka pesa ila tutawahamisha na kichapo kizito tu.
NANI kataja mzungu?? Mwarabu ndiye anayetajwa and so far hujaonyesha kama huu ni uongo...

Unabwatuka tu kuwa ni hoja za kuokoteza mitandaoni, yet huwezi kuzipinga, who cares hata kama ni hoja za majalalani huko?!

Eti kisa ni hifadhi ya Wanyama, huu ni uongo na unajua unapotosha, nahisi umetumwa kuja ku dilute mambo

Kama wamasai miaka yote wamezaliana kutoka number iliyokuwepo na hio hifadhi haijapotea...leo Mwarabu kaja ndio mnakumbuka wamasai wahame?!

Wamasai hawami ng'o...

At least ni watu wanaojitambua...

Mimi nimewapenda,

Sio kama nyie selfish people..

Mko tayari kuuza watanzania wenzenu, ili nyinyi na vijukuu vyenu muishi raha mstarehe...

No 'muwekezaji' kwenye eneo la wamasai...

NO!!!
 
Tanzania tusipodhibiti population ya watu hali itakuwa mbaya sana na migogoro inayohusisha ardhi na maeneo itazidi kuongezeka.

Huko wanakohamishwa Wamasai ni suala la muda tu kabla haijaanza migogoro ya ardhi maeneo hayo.
 
NANI kataja mzungu?? Mwarabu ndiye anayetajwa and so far hujaonyesha kama huu ni uongo...

Unabwatuka tu kuwa ni hoja za kuokoteza mitandaoni, yet huwezi kuzipinga, who cares hata kama ni hoja za majalalani huko?!

Eti kisa ni hifadhi ya Wanyama, huu ni uongo na unajua unapotosha, nahisi umetumwa kuja ku dilute mambo

Kama wamasai miaka yote wamezaliana kutoka number iliyokuwepo na hio hifadhi haijapotea...leo Mwarabu kaja ndio mnakumbuka wamasai wahame?!

Wamasai hawami ng'o...

At least ni watu wanaojitambua...

Mimi nimewapenda,

Sio kama nyie selfish people..

Mko tayari kuuza watanzania wenzenu, ili nyinyi na vijukuu vyenu muishi raha mstarehe...

No 'muwekezaji' kwenye eneo la wamasai...

NO!!!
Uyo unaebishana nae ni kama vile ana fikra za kizamani haendi na wakati waafrika huu ni wakati wenu kuamka ndo maana JPM aliwabana sana wawekezaji kutoka nje dunia inaenda kasi sana hii tumetoka kwa mkoloni kwenda kwa mwekezaji sina nia mbaya na wawekezaji ila ukweli ni kwamba tumetoka kwa mkoloni kwenda kwa mwekezaji. Haiwezekani tunyanyase raia kisa mwekezaji unaanzaje kumwaga damu za raia wako kisa mwekezaji hawa wawekezaji hawana tofauti na wakaloni ila sio wawekezaji wote ni baadhi tu wamejificha kwenye kimvuli uwekezaji kumbe ni wakoloni wenyewe haiwezekani udhalilishwe kwenye ardhi yako kisa mwekezaji. hawa wanaotetea huu upuuzi itakua sio watanzania. wawekezaji wengi ndio wamekua wakilichuna hili bara la afrika wanatumia ardhi yetu kujinufaisha wao. wanatudhalilisha kwenye ardhi yetu alafu mtu anakuja kutetea huu upuuzi. NDIO MAANA HATA PUTIN ALIWAHI KUSEMA "umasikini wa afrika ni viongozi wao" "na hata siku moja afrika haitakaa ikaja kua huru" HAKUNA MZALENDO ANAWEZA KUTESA RAIA KISA MWEKEZAJI KUDHALILISHA RAIA KISA MWEKEZAJI" hapa kuna masirahi ya mtu so bure
 
Ukiona nguvu kubwa inatumika hivyo, kuna stahili zao hazijatimizwa. Hilo sio kitu kigeni kwa TZ.
Hiyo stahiki ni huruma ya serikali au haki yao? Mbona kuna wanaobomolewa bila kulipwa fidia hamsemi?
 
Naona unajipambanua sana katika jambo hili. Bila shaka unalo maslahi makubwa juu yake!

Lakini elewa, unaposhangilia leo, kesho ni wewe utakayekuwa mchezaji.
Kwann hamkutusaiidia wakati tunafurushwa kule Ihefu mbalali, katavi na ujiji? Kwann wamasai?
 
So what? Kujulikana na wengi ndio sababu ya kuhamishwa au msingi wa mradi husika?

Hoja za kipumbavu unazozitoa.
Kuhamisha watu kupisha ujenzi hilo lina substance ila kuhamisha watu kwa sababu ya kuwa hawatakiwi kuishi na wanyama halafu badala eneo liachwe huru unamuingiza mtu mwengine kisa hongo za kifisadi ni upumbavu mno!

Halikubaliki hilo, ni sawa tu na kufukuza raia walioshi toka enzi za nyumba za chini kisha wakaambiwa wapishe ujenzi wa ghorofa za national housing kisha baada ya ghorofa kukamilika wanaambiwa eti wasirudishwe kisa hawaendani nazo.
 
[emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867]
 
Wamasai wasiwe wabishi, wameshatengewa eneo la kuhamia shida nn? Wanyama hawawezi kuishi na binadam over!
Kama wanyama wameweza kuhamishiwa Uarabuni, nini kinashindikana hapa? By the way, hao wanyama wameishi na wamasai kwa muda gani hadi leo..?
 
Kuna video inasambaa kwenye mitandao ya kijamii ikionyesha mirindimo mikali ya risasi huko Ngorongoro huku wanananchi wa jamii ya kimasai wakikimbia huku na kule kunusuru maisha yao.

Video hiyo imezua taharuki kubwa mitandaoni kiasi kwamba wengi wa walioiona hiyo video wameshangazwa sana na nguvu kubwa inayotumika dhidi ya wananchi wa jamii ya kimasai

Ifahamike tu kuwa serikali imeonyesha nia ya kuwaondoa Wamasai katika eneo hilo la Ngorongoro kwa vigezo vya uhifadhi. Hata hivyo Wamasai wanapinga vikali suala hilo kwa kusema kuwa, Enzi za Mkoloni walikubali kuachia maeneo yao ya Serengeti ili kuwezesha Serengeti iwe mbuga ya wanyama tupu. Walihamishiwa ngorongoro kwa makubaliano kuwa safari ijayo maslahi ya binadamu yakigongana na maslahi ya watu basi maslahi ya watu yatapewa kipaumbele.
Wakati wa utawala wa serikali ya awamu ya kwanza serikali ilitunga sheria ya uhifadhi ya Ngorongoro, na sheria hiyo ikasema wazi kuwa mojawapo wa malengo ya mamlaka hiyo ya uhifadhi wa ngorongoro ni kulinda maslahi ya wamasai waishio katika uhifadhi.

Tatizo la migogoro ya Serikali na Wamasai linarudi nyuma toka zama za kashfa ya Loliondo na kuna minong'ono kuwa yule mwarabu aliyepewa eneo la Loliondo anataka apewe eneo kubwa zaidi na hivyo ndo maana Wamasai wanafanyiwa visa wafukuzwe au waondoke wenyewe.

Hili suala ni zito sana, Ikumbukwe kuwa Hayati Magufuli katika utawala wake alikataa kuwafukuza wamasai huko Ngorongoro, lakini serikali hii ya awamu ya Sita naona inatumia kila mbinu kuwaondoa Wamasai katika maeneo yao.

Hapa Chini ni clip ya video ikionyesha Wamasai wakikimbia kunusuru maisha yao dhidi ya bunduki na risasi.

View attachment 2256280
Umeandika mengiii lkn ukweli unabaki hao ni wavamizi waondokeee,
Mnakuja na hoja anapewa mwarabu wakati sio kweli,
Pia hata akipewa ana maslahi mapana zaidi kwa taifa kuliko hao wamasai watalii huja kushangaa wanyama sio watu.... Alaaa
 
Tukutane 2025,

Jpm mwimgine lazima achomoze, mtetezi wa rasilimali zetu na watu wanyonge!
Tushajifunza, huo ujinga wa kuchagua taipu ya yule mjinga hatufanyi tenaa,
Mama bado yupo sanaa na katiba tutaichezea akae madarakani adi kifo mwendazake ametupa funzo sana, nchi iliingia kwenye historia ya kuongozwa na kichaa wakati wenye akili timamu tupo
 
Umeandika mengiii lkn ukweli unabaki hao ni wavamizi waondokeee,
Mnakuja na hoja anapewa mwarabu wakati sio kweli,
Pia hata akipewa ana maslahi mapana zaidi kwa taifa kuliko hao wamasai watalii huja kushangaa wanyama sio watu.... Alaaa
Unakuta mpuuzi anashabikia wamasai kunyanyaswa kwa kuvamiwa na FFU ila kule kwenye uzi wa Urusi na Ukraine anamtetea Ukraine😀
 
Salaam Wakuu,

Kuna picha zinazoonesha Wananchi wa Tanzania Jamii ya Wamasai wakiwa na majeraha. Haijajulikana picha zimepigwa wapi saa ngapi.

Naamini Vyombo vya Usalama vitatolea ufafanuzi ili kuondoa taharuki katika Jamii.

MY TAKE:
Damu ya Mtu haiendi bure.

Pia soma:

Wamasai Ngorongoro: Spika ataka 'aliyechukua clip' ashughulikiwe, taasisi zilizosajiliwa nchini kufata

Bungeni: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa asema hakuna mgogoro kati ya Wafugaji na Serikali Loliondo

WANANCHI WALIOJERUHIWA NA POLISI KATIKA KIJIJI CHA OLOLOSKWAN KWA RISASI TAREHE 10 JUNI 2022

1 Ngormoj Masago Mwanamke Amepigwa risasi Mguuni na chini ya Tumbo
2 Partalala Parmwat Mwanaume Amevunjwa Mguu
3 Koote Kaura Mwanaume Amevunjwa Mguu
4 Sereman Lukeine Mwanaume Amevunjwa Mkono
5 Kiteleshon Masago Mwanamke Begani
6 Olengiyo Mwanaume Amevunjwa Mguu
7 Njipai Nginai Mwanaumke Amevunjwa mguu
8 Mtoto wa Denis Reya Mwanaume Amevunjwa mguu
9 Orkiliyai Saingeu Mwanamke Amevunjwa Mkono
10 Olesukuli Lukeine Mwanaume Kichwa

View attachment 2256224View attachment 2256225View attachment 2256226View attachment 2256227View attachment 2256228View attachment 2256229View attachment 2256230View attachment 2256231View attachment 2256232
View attachment 2256393View attachment 2256394
View attachment 2256336
View attachment 2256286
Mods kwa nini mnaruhusu mtandao wenu kutumika kueneza chuki? Mkifungiwa mtalaumu?
 
Umeandika mengiii lkn ukweli unabaki hao ni wavamizi waondokeee,
Mnakuja na hoja anapewa mwarabu wakati sio kweli,
Pia hata akipewa ana maslahi mapana zaidi kwa taifa kuliko hao wamasai watalii huja kushangaa wanyama sio watu.... Alaaa
Kuna jamii kadha wa kadha hapa Tanzania wamepisha maeneo yao Kwa maslahi ya Nchi afu Hawa ndio wanataka kujifanya Wana haki Sana..

Sehemu zote zenye migodi watu wamepisha maeneo, kwenye barabara wamepisha,vyanzo vya maji wamepisha na baadhi Vijijini vimefutwa kwa ajili ya Uhifadhi..

What is special kwa Hawa Masai? Tena hawafukuzwi bali wanahamishwa sehemu zingine kukiwa na huduma zote..

Wakoendelea kusikiliza uzushi watashughulikiwa kweli kweli na Serikali isirudi nyuma kwa Hawa wapuuzi,jambo lenye maslahi mapana kwa Nchi Lina ukomo wa kubembelezana..👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220611-081135.png
    Screenshot_20220611-081135.png
    156.6 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220611-081458.png
    Screenshot_20220611-081458.png
    98.4 KB · Views: 7
  • Screenshot_20220611-081546.png
    Screenshot_20220611-081546.png
    123 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220611-081603.png
    Screenshot_20220611-081603.png
    67.8 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220611-084348.png
    Screenshot_20220611-084348.png
    41.6 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220611-084421.png
    Screenshot_20220611-084421.png
    369.2 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220611-084455.png
    Screenshot_20220611-084455.png
    308.9 KB · Views: 5
Tushajifunza, huo ujinga wa kuchagua taipu ya yule mjinga hatufanyi tenaa,
Mama bado yupo sanaa na katiba tutaichezea akae madarakani adi kifo mwendazake ametupa funzo sana, nchi iliingia kwenye historia ya kuongozwa na kichaa wakati wenye akili timamu tupo
Vipi pesa za kwenye contena na wewe unazo nini..?

Mbona muoga muoga sana? Subiri 2025, ni kuwanyonga mmoja baada ya mwingine!

Tunahitaji kiongizi aliye zaidi ya JPM maana wajinga mmezaliwa tena!
 
Back
Top Bottom