The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Sawa tuu endeleeni kuwadanganya.Huu ni ukoloni zaidi ya ule wa awali, mtu hana uhuru kwenye nchi yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa tuu endeleeni kuwadanganya.Huu ni ukoloni zaidi ya ule wa awali, mtu hana uhuru kwenye nchi yake
Kwani 2025 ndio itafanya nini? Kwamba huo mwaka tufanye upinzani wanashindwa kwa hiyo wapinzani hawatasimamia sheria si ndio? 😂😂Vipi pesa za kwenye contena na wewe unazo nini..?
Mbona muoga muoga sana? Subiri 2025, ni lie anyonga mmoja baada ya mwingine!
Tunahitaji kiongizi aliye zaidi ya JPM maana wajinga mmezaliwa tena!
Umeandika vema, lakini kama Watanzania pia tunapaswa kuwa makini na propaganda. Serikali kubadili matumizi ya maeneo sio jambo geni, ilifanyika kwenye bonde la Ihefu, watu walihamishwa kulinda vyanzo vya maji ya mto Ruaha; hakukuwa na kelele kama hivi sasa. Bagamoyo ardhi nyingi tu imechukuliwa kwa ajili ya ujenzi wa bandari, hakukuwa na kelele kama hivi sasa; what is special about wamasai kwamba hawatakiwi kutikiswa?Mkuu, umeandika vyema, lakini mgogoro unaohusisha wananchi ni wajibu wa serikali kuuchukulia kwa uzito mkubwa zaidi kuliko inavyofanya sasa.
Kuamini tu kuwa kwa kuwa wao ni serikali wana haki ya kutumia mabavu siyo sahihi hata kidogo.
Isitoshe, kama kuna uhusiano wowote wa mwekezaji toka nje ya nchi anayesababisha serikali ikose weledi wa kushughulika na matatizo ya wananchi wake, hilo pekee linafanya serikali kuwa na sura mbaya kabisa.
Wajibu wa kwanza kabisa wa serikali ni kulinda maslahi ya wananchi wake kuliko uwekezaji, ambao unaweza kufanyika katika mambo mengine mengi nchi yetu iliyojaliwa kuwa nayo.
Maisha ya wananchi wetu ni muhimu zaidi kuliko uwekezaji wowote ule. Kwani maana ya kuwekeza ni nini, kama si njia tu ya kutafuta kuinua maisha ya wananchi wetu!
Kazi yako ni kubweka, ukiacha hutaitwa mbwa tena!Kwani 2025 ndio itafanya nini? Kwamba huo mwaka tufanye upinzani wanashindwa kwa hiyo wapinzani hawatasimamia sheria si ndio? 😂😂
Acheni kudanganya wajinga nyie pimbi.
Ndo hivyo,wewe unatakaje?Utawala unaua Raia wake ili kuchukua fedha za waarabu.
Utawala wa kinyama sana huu.
Tunawashughulikia haswa haswa..Kazi yako ni kubweka, ukiacha hutaitwa mbwa tena!
Haaaaa[emoji23] ahonge ccm ya nini ?? Hao ndiyo wanao kimiliki hicho chama ....wengine waliopo chamani ni vibaraka wao tu ....huo ndiyo ukweli kwa yoyote mwenye akiliHuyu Baba ndio aliyehonga CCM ili wauze ngorongoro
Serikali yetu ina mahusiano ya karibu sana na wawekezaji/matajili mkuu. Maskini hawana mchango wowote katika uchumi wa hii awamu yetu ya sita hivyo hakuna sababu ya kuwa na ukaribu nao. Hata kura tunatoka za matajili tu.Duh.. hili balaaaa.
Hii yote kisa Mwarabu?
Si wampatie sehemu nyingine!?
Bibi shungi kalewa madaraka mapema sana.Duh.. hili balaaaa.
Hii yote kisa Mwarabu?
Si wampatie sehemu nyingine!?
Mkuu hivi hata kwa akili ndogo tu hivi yale majeraha ni ya risasi? au vitu vyenye ncha???Utawala unaua Raia wake ili kuchukua fedha za waarabu.
Utawala wa kinyama sana huu.
Unapokataa zile siyo risasi basi aidha ni mwehu au huna akili.Mkuu hivi hata kwa akili ndogo tu hivi yale majeraha ni ya risasi? au vitu vyenye ncha???
Mtaulaumu utawala bure tu !
Peleka hii kwenye group la UVCCM.Mnatuletea picha za zamani wakati waMasaai wanapigana na Wasonjo nyie watu. Wasonjo ni kabila dogo lililoko Ngorongoro sehemu inaitwa Oldonyosambu (Sale) ni wakali balaa. Masai anapigagwa mpaka anashika adabu.
Kwahiyo huwa mnapenda makusudi kugomea mamlaka ili mamlaka ikitumia mamlaka yake ya kidola muanze kutafuta huruma kama hivi sindiyo? Wewe unaambiwa ondoka kwa hiyari serikali inakupa sehemu ya kuhamia unajifanya nunda ukiondolewa kwa nguvu unalalamika huoni ni kujitakia?Halafu eti mnamuita mama, WTF?
Mkuu kwani Simba wana njaa!?!?Safi sana wapigwe tu. Wengine wabakie vitoewo vya Simba humo mbugani