Pindi Chana: Nimesitisha usafirishaji wa wanyamapori mpaka nitakapopata taarifa kamili

Mambo kama haya ndiyo Maza alikuwa akiyasema juzi.
Hizi ni siri za serikali ambazo hazikutakiwa zitoke nje. Huyo Mkurugenzi aliyetoa tangazo alikuwa hajajua utaratibu mpya unaohimizwa na mkubwa wao?

Sasa mengi yatakuwa yakifanyika gizani.
 
😎
 

Attachments

  • IMG-20220604-WA0000.jpg
    24.2 KB · Views: 14
  • IMG-20220604-WA0001.jpg
    10.5 KB · Views: 16
Waziri anapima nguvu ya makamu mwenyekiti?
 
Yaani aruhusu yeye na kuzuia yeye afu minyumbu inasifu...teh teh
Wamchukulie hatua alie toalile tangazo.
Upepo ulikuwa unapimwa mkuu, watu wanauchu na rasilimalizetu sana.
 
Mimi kwa kweli hakuna mnyama ananiumiza moyo wangu kama Twiga nikimuona anasafirishwa kwenda nje ya nchi yangu TZ. Huwa machozi yananitoka kabisa.
 

Attachments

  • IMG-20220605-WA0066.jpg
    34 KB · Views: 23
  • VID-20220605-WA0055.mp4
    16.8 MB
  • VID-20220605-WA0067.mp4
    2.3 MB
HUYU WAZIRI ALIAMBIWA AJIUZULU NA CHONGOLO JUZI

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Amesitisha kuanzia leo lakini siku ya jana pengine wapo wanyama wamesafirishwa. Si kweli kwamba waziri alikuwa hajui huu mpango unajulikana na wengi mpaka ccm na huko juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…