Uchaguzi 2020 Pinga pinga wa ndege, Zitto Kabwe aumbuliwa na ndugu zake

Uchaguzi 2020 Pinga pinga wa ndege, Zitto Kabwe aumbuliwa na ndugu zake

Kusema ndege ni skrepa (kama alisema) ndiyo kusema; hatopanda ndege???.

Mimi, mfano nikisema: Hiii gari mbovu, je maana yake nimesema sitaipanda hiyo gari???!!.

Leteni hoja zenye mashiko hapa sio hoja za kitoto.
Uwezo wako wakufikiri ni mdogo Sana. (Umesema hili gari ni bovu alafu unapanda kwaajili ya safari.) Hapo utakuwa umeonyesha ni jinsi gani huna akili na hujali usalama wako.
 
😂
Limekuuma Neno la Ninyi ni malofa na wapumbavu?

Nasisitizia hapohapo, Ninyi ni malofa na wapumbavu, kwahiyo hizo kelele za Kwa nini nchi inanunua ndege huku raia wakiwa na njaa unazikataa leo, hivi na wewe mzigo?

Kwa hiyo leo siyo hoja tena? Jinga kabisa wewe

Ushamba umewashikeni mnadhani nchi kuwa na ndege zilizonunuliwa kifisadi ndiyo ujanja??!!.

So far mtuambie hizo ndege zimeingiza faida kiasi gani, mtuambie ni katika nchi gani za nje zinakwenda??--- akili zenu fupi kama mkia wa mbuzi, mnasubiri Zitto apande hizo srepa zenu kotoka Dar- kigoma kwa shs 200,000/- eti muoneshe kwamba mnapata faida ya kisiasa na kiuchumi!!!--- Wasukuma shida sana, ushamba umewazidi.
 
Uwezo wako wakufikiri ni mdogo Sana. (Umesema hili gari ni bovu alafu unapanda kwaajili ya safari.) Hapo utakuwa umeonyesha ni jinsi gani huna akili na hujali usalama wako.

Hivi ni mara ngapi tunapanda magari mabovu????-- hivi wewe ni raia wa ulaya au raia wa Tz???!!.

Nitajie uraia wako kwanza, yawezekana naongea na mtu kutoka ulimwengu wa kwanza (the first world).

Vyombo vingi vya usafiri, katika nchi hii vinakasoro nyingi za kiusalama au wewe ni mgeni??.

Ni mara nyingi tunapanda vyombo vibovu na tunajua hilo na tunafika salama.

Ongea, reality usiongee hypothesis ilimradi kupinga tu, huo utakuwa ni upumbavu.
 
Usiniweke kwenye kundi la mataahira wenzako msioweza kuchanganua mambo. Tangu 2015 mliitwa nyumbu na niukweli mnasifa zote zakinyumbu. Mmejaa comedy tupu!
 
Leo wananchi wa Kigoma wameamua kumtolea uvivu Zitto Kabwe baada ya kuonyesha picha yake akishuka kwenye ndege aina ya bombardier mbele ya Rais Magufuli.

Picha hiyo ilibua shangwe uwanjani hapo na watu wengi walifurahi kwamba sasa unafiki wa ZitTo Kabwe na vibaraka wa mabeberu wenzake wameumbuka.!!

My take .

Ina maana Zito Kabwe amechokwa kiasi hiki na wana Kigoma kiasi cha kutwezwa utu wake mbele ya Rais Magufuli?? Pole sana Zitto na mwenzako Lissu mkae mkijua watanzania siyo wajinga, wanajua upi ni mchele na zipi ni pumba na tarehe 28 October mtanyolewa kwa wembe mkali sana.View attachment 1573768
Kama zinakutosha vizuri tafakari jibu alilopewa na Magufuli huyo aliyeonesha hiyo picha...KAMA ZINAKUTOSHA VIZURI LAKINI
 
unaweza kushauri pia ni Kwa jinsi gani ndege ziongeze faida kubwa kuliko hiyo iliyopo

Pumbavu, ndege ununue wewe kifisadi ushauri wa kupata faida kibiashara nikupe mimi??--- damn shit.

Nyinyi hamna wachumi wa kibiashara wa kuwapeni ushauri??, malofa wakubwa, nendeni kwa P. kagame kuomba ushauri yeye kafanyaje kupeleka ndege zake ulaya.

Na mtuambie so far, ndege zimeingiza faida kiasi gani ama sivyo zipigwe mnada pesa itakayopatikana waongezewe mishahara wafanyakazi kwani pesa za nyongeza za mishahara yao ndio mmeenunulia hizo ndege. Wadhulumati wakubwa.
 
Huo ni ujinga mkubwa sana; kwani Zitto alisema lini kwamba hatopanda ndege za Magufuli? Anachosema Zitto na wapinzani wengine wa kisiasa ni kwamba manunuzi ya ndege yamegubikwa na usiri mkubwa, bunge halijui gharama ya hizo ndege, taratibu za manunuzi zipoje nk, kifupi nj kwamba manunuzi ya hizo ndege hayakufuata taratibu za zabuni nk,

Hivyo kuna harufu ya ufisadi mkubwa katika mchakato mzima wa manunuzi na ndiyo maana mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali haruhusiwa kukagua hesabu za hizo ndege, kifupi ni kwamba kuna harufu ya ufisadi mkubwa juu ya pesa ya umma kuhusu hayo manunuzi, yawezekana hata huyo mwananchi aliyebeba bango la picha ya Zitto hajui pesa ya umma ni kitu gani!

Hiyo ndiyo elimu ya Watz ilivyo.

aaah bana wewe, usitufanye hatukuwaskia, na kwenye kampeni wameiongea sana! bana naskia ndege hazina umuhimu kwa sababu hazigusi maisha ya mwananchi wa kawaida! kwa kifupi mpunguze uongo
 
Na wewe weka hicho kipande kingine mkuu... demokrasia hii
Kwani kwenye makabrasha ya file la yesu huna? Baasi sawa
By the way Umesikia wapi demecrasia, waapi?! Mkichagua wapinzani siwaletei maendeleo Ndio democracia unayozungumza hapa?! KMMK
 
We naye hauna hoja kabisa kwa kudhani siasa ni zero Sum game kwamba ukisema Rais mwanamke basi hta likiwa zoba zoba as long as ni mwanamke usipinge kisa ulishauri?

Waliposema Rais asiyesafiri sio kumaanisha ndio asitoke kabisa bali awe na balance unlike Kikwete, same to kufufua ATCL, kufufua reli etc haimaanishi sasa uwekeze trillion zote huko hadi masuala mengine yakwame.

Sasa ww kwa logic yako eti mtu akishauri mnunue ndege eti ukinunua hata 50 ooh usisemwe kisa ulishauriwa ununue ndege. Hizi extremes mnatoa wapi?

illogical inference

mradi ndo unadetermine kiasi gan cha pesa kinahitajika, hauwezi pangia mradi utumie pesa unazotka wewe! alafu magufuli ingawa ni PHD ya chemistry ila ni mwana uchumi mzuri tu kwenye long run game! ukiachana na izi mbuzi zingine zinazosema ndege haina faida alafu ndo wa kwanza kukata tiketi, anyway all in all ni kushindana kisiasa so hakuna ubaya wowote
 
Kwani kwenye makabrasha ya file la yesu huna? Baasi sawa
By the way Umesikia wapi demecrasia, waapi?! Mkichagua wapinzani siwaletei maendeleo Ndio democracia unayozungumza hapa?! KMMK
Hata unavyoweza kupost ulichopost hapa ni demokrasia

Wewe chagua unaemwona anakufaa, kura zake zikitosha atapita halafu uone kama utanyimwa barabara, maji, umeme au ukienda hospitali hutotibiwa

Kwani mbona unajitisha sana😂😂😂
 
aaah bana wewe, usitufanye hatukuwaskia, na kwenye kampeni wameiongea sana! bana naskia ndege hazina umuhimu kwa sababu hazigusi maisha ya mwananchi wa kawaida! kwa kifupi mpunguze uongo

Ni kweli hazigusi maisha ya mtu wa kawaida au wewe huoni???.

Swali ni hili; ni lini Zitto alisema hatopanda hizo ndege???
 
Ni kweli hazigusi maisha ya mtu wa kawaida au wewe huoni???.

Swali ni hili; ni lini Zitto alisema hatopanda hizo ndege???

kwan tanzania wanakaa maskini tu? hao wengine sio watanzania? mbna mnataka kua wabaguzi! alafu msitoke nje ya mada maana mlisema hazina umuhimu, mbna mnaanza kukimbiana mapema!
 
Huo ni ujinga mkubwa sana; kwani Zitto alisema lini kwamba hatopanda ndege za Magufuli? Anachosema Zitto na wapinzani wengine wa kisiasa ni kwamba manunuzi ya ndege yamegubikwa na usiri mkubwa, bunge halijui gharama ya hizo ndege, taratibu za manunuzi zipoje nk, kifupi nj kwamba manunuzi ya hizo ndege hayakufuata taratibu za zabuni nk,

Hivyo kuna harufu ya ufisadi mkubwa katika mchakato mzima wa manunuzi na ndiyo maana mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali haruhusiwa kukagua hesabu za hizo ndege, kifupi ni kwamba kuna harufu ya ufisadi mkubwa juu ya pesa ya umma kuhusu hayo manunuzi, yawezekana hata huyo mwananchi aliyebeba bango la picha ya Zitto hajui pesa ya umma ni kitu gani!

Hiyo ndiyo elimu ya Watz ilivyo.
Hoja kuu ya zito ni"HATUNAHAJA YA KUNUNUA NDEGE...."
 
kwan tanzania wanakaa maskini tu? hao wengine sio watanzania? mbna mnataka kua wabaguzi! alafu msitoke nje ya mada maana mlisema hazina umuhimu, mbna mnaanza kukimbiana mapema!

Vifaa tiba tunavyonunua nje, watalii wanaoukuja kutembea, wagonjwa mahututi na waliopata ajali wanabebwa na bajaj?
 
Nikikumbuka namna alivyokuwa akisema kuhusiana na fedha za world bank na pia corona huwa napata maswali mengi kuhusiana na uzalendo wa huyu mtu.
Hadi watu wa nyumbani kwao Burundi huwa wanamshangaa sana huyu uso fenesi!
 
Back
Top Bottom