Pointers kwa wote wanaohofia usalama wa maisha yao kwa sababu ya harakati zao

Ngabu naomba umuache samia wangu tafadhali. Usimchambe.

Tutakosana.
 
Mkifunga camera tutakuja tumevaa BARAKOA.

Ubaya ubwela, hakuna venye mtatukimbia.
 
Mara nyingi matukio hayo yanakuwa planned and executed na TISS agents. Hiyo idara imekuwa ikitumiwa vibaya na watawala. Kwa kifupi, wale ndiyo majambazi rasmi wa Serikali.
Haya matukio ya sasa yule Mange alishayasema kitambo kidogo kipindi anamshambulia Mama. Alisema yatakuja mambo worse zaidi karibu na uchaguzi. Inaonekana aliyempa hizi taarifa alikuwa anajua hii mipango muda tu, na ni mipango iliyopangwa tangu wakati huo. Na hawa wapangaji si wahuni tu wasiojulikana, wasiwafanye Watanzania wajinga.

Lengo ni kurudi madarakani kinguvu?! Mbona kwa hali ilivyo hakukuwa na haja ya yote haya? Fr Kitime na hata huyu Mdude na wengine wengi, haikuwa na haja ya kuwafanyia haya jamani. Mbona uchaguzi tayari ni mwepesi tu kwake? Kujitafutia dhambi kubwa kirahisi rahisi kwa vitu vya kupita tukaviacha hapa hapa duniani.
 
Hii strategy imeshafanya kazi wapi, nchi gani?? Wapi watu wakiuliwa na kuteswa ndio wanaogopa na kunyamaza na kuwaacha watawala waendelee tu kutawala bila kuwahoji? Mbona ndio huwa inatia utambi na kuibuka kwa chuki kali ya wananchi dhidi ya watawala? Kwa nini hili hawalioni? Hapa si ndio wataibuka kina Mdude 100!

Jamani inatia hasira hao watu waoratibu haya kuachwa tu wanafanya hivi wanavyofanya. Hii ni strategy ya kishamba na kizamani mno. Hatujifunzi kwa yanayoendelea nchi zingine??
 
Nina siku kama 2 sijaingia humu, vipi the united republic of gangster ya sa 100, hawajateka, shambulia ama kuua mtanzania yeyote mwengine?
 
Fact that you’re all dumbasses is not my problem.

Walioelewa ni wengi mno kushinda wewe na mazumbukuku wenzio.
We una shida sehemu , hujiamini kila anayekupinga unakimbilia kwenye uelewa wake hii inadhihirisha una hilo tatizo na linakusumbua sana jikubali Mzee
 
Kumbe unamjua ? Mi namuona f&la tu bichwa boga .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…