Kwahiyo unataka kila msomi aendelee kudanga na kucheza pool? Si bora wakalime??Kila mtu atalima kweli? au unapoteana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo unataka kila msomi aendelee kudanga na kucheza pool? Si bora wakalime??Kila mtu atalima kweli? au unapoteana?
Wanaolima umeona maisha yao lakini? Au kilimo cha million 100, utawapa?Kwahiyo unataka kila msomi aendelee kudanga na kucheza pool? Si bora wakalime??
Kuna wakati nilikuwa Manispaa fulani kubwa kuliko Manispaa zote Tanzania, lakini maslahi yake hayakuti baadhi ya Halmashauri za wilaya nchini.Mipango.
Pia issue sio idara, issue ni uko halmashauri ipi mkoa upi.
Simaanishi kwamba ni mtu mmoja yaani wengi wao.Oya nikimpata huyo tubadirishane aje huku Halmshauri.
Wasomi wanaodanga na kubeti umeona maisha yao lkn? Si ndiyo hao unaowaonea huruma kwenye uzi wako?? Ulishawahi kuona uzi wa kuwaonea huruma wakulima hapa JF?Wanaolima umeona maisha yao lakini? Au kilimo cha million 100, utawapa?
Wengine huenda kutafuta CHQ Number !!!Lete ramani hapa hapa watu wanufaike
Kuna wakati nilikuwa Manispaa fulani kubwa kuliko Manispaa zote Tanzania, lakini maslahi yake hayakuti baadhi ya Hlamashauri za wilaya nchini.
Mfano Manispaa ya Iringa huwezi linganisha na Halmashauri ya Mufindi au Njombe kwa maslahi.
Ni akili ya mtu na bahati tu
Duuuuuh wakulima kelele zipo nyuzi kibaoWasomi wanaodanga na kubeti umeona maisha yao lkn? Si ndiyo hao unaowaonea huruma kwenye uzi wako?? Ulishawahi kuona uzi wa kuwaonea huruma wakulima hapa JF?
Kwa upande wa wataalam sijajua; ila ubora wa halmashauri huwa ninaupima kwa mapato ambayo ndiyo hutoa picha halisi ya mzunguko wa fedha.Vipi kuhusu mafinga Kaka? Vipi pia maslahi ya architect halmashauri
Abadili aende huo uafisa usafiri bila kujiuliza mara mbiliKuna manzi anatoka ualimu anaenda kuwa afisa usafiri halmashsuri. Mkurugenzi kampitisha, ila afisa elimu akamshauri sana bora abaki kwenye ualimu. Ila mwalimu kakomaa aende halmashauri. Kwa maelezo ya wazoefu wa halmashauri ni kama hakuna unafuu wowote atakaopata akienda halmashauri
Kwa wazoefu wanasema hakuna unafuu wowote atakaopataAbadili aende huo uafisa usafiri bila kujiuliza mara mbili
Thanks for infoKwa upande wa wataalam sijajua; ila ubora wa halmashauri huwa ninaupima kwa mapato ambayo ndiyo hutoa picha halisi ya mzunguko wa fedha.
So bila shaka arcticture inaweza ikawa inalipa japo sijawahi kufika huko.
Mafinga ninadhani kuko poa. Ninavyofahamu, miji ya Njombe, Makambako na Mafinga haichani sana na ni miji inayokuwa kwa kasi kuliko hata Moshi na Songea.
Kwa hiyo eneo lile ni nzuri kwa mtu anayeona mbali.
Bora huko, na akumbuke kuna possibility ya kuhamaKwa wazoefu wanasema hakuna unafuu wowote atakaopata
Kwenda wapi? Maana atabaki na mshahara uleule wa mwalimu wa diplomaBora huko, na akumbuke kuna possibility ya kuhama
PoaThanks for info
Pole sana dogo.Hari ni tete Sana, unachoweza kufsnya ni kupunguza matumizi, kula Milo miwili kwa siku, usiku unapiga ndeefu, ndizi mbili za kuiva unalala, acha bia,kuonga, nk, Bora wewe unapakujishikiza, hata salary ikichelewa, itakuja tu! Sasa kuna wingine,akina sie, ni kama mbwa! God Aki bless, unapata kitu, bila hivyo ni kusaga rami, tumekaa walipoolewa Dada zetu, mpaka, inaleta msongo wa mawazo
Iko hivi. Halmashauri waweka hazina ni wezi wezi wezi wezi wakishirikiana na maafisa mapato ni wezi wezi wezi, so makusanyo yanaibwa ila wakikaribia kufunga mwaka wanakusanya kufikia malengo. Yaani hakuna mfumo mbovu wa utoaji wa hela kama halmashauri yaani kuna rushwa, ngono, etc ili mradi tu mweka hazina aridhike. Dawa ni kufanya kila kitu kiwe online yaani pasiwe na maamuzi ya kulipa kulingana na mweka hazina anavyojisikia.Naelewa magumu wanayo pitia wanao tafuta ajira, kula yao tu MUNGU anasimamia.
ila kuna ndugu zenu wamepata ajira halmashauri nao kichwa kinapasuka kwa madeni, stress na uduchu wa mishahara.
Hela ya kujikimu tu haipatikani licha ya serikali kuu kulikemea swala hili kila mara lakini wapii.
Rais samia tukumbuke huku halmashauri maslahi yetu ni hafifu sana na hela za kujikimu hazipatikani
Utaongezaje experience wakati mtu hanayo? Ina maana utaweka uongo kwenye CV. Kama ni kunyoosha au format hizo zinapatikana online tena bure! Just google and you get CV foumarts free!MWENYE CV MBAYA 🗣️🗣️
MTU AMBAE CV YAKE IPO DHAIFU ANAHITAJI ISHIBE EXPERIENCES KIDOGO NA IWE KWENYE FORMAT NZURI ZAIDI NICHEKI INBOX, NITAKUWEKEA JOB EXPERIENCE NA ACHIEVEMENTS ZA KAMPUNI.
Hizi experiences zinakubeba kwenye kazi za Anna nyingi sana na rahisi kuzielezea kwenye INTERVIEW.
KWA ANAYEHITAJI UTANITUMIA CV YAKO NITAWEKA KWENYE PROFFESIONAL FORMAT YANGU NA KUKUONGEZEA JOB EXPERIENCE.
Na wale umefanya kazi sehemu hujui kuweka maelezo ya kutosha ya hio kazi kwenye JOB EXPERIENCE, nitakuwekea PIN POINTS zakutosha na ACHIEVEMENTS ZAKE.
BEI MAELEWANO🗣️🗣️
Hii inakuwaje hebu tia nyamangono
Yaani ukiwa mfano unadai hela fulani let’s say ni stahiki yako kabisa kisheria, mweka hazina anayo mamlaka ya kusema hela kwenye hicho kifungu haipo wakati kwenye bajeti ipo maana yake ujiongeze ugongwe ili upate hiyo hela, yaani kwa ufupi halmashauri zimejaa uchafu na wajinga wengi hasa idara ya fedha ni miungu watu na ndiyo wanaokwamisha hasa maendeleoHii inakuwaje hebu tia nyama