GE2025 Polepole acharuka: CCM yavunja Misingi, Haki yazimwa, Katiba ilichakachuliwa na Utekaji wazidi kutisha

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
tunaendelea kumsikiliza, kumbe alikuwa recruited na tiss tangu akiwa shule. anachotakiwa kufanya, atengeneza clip zake kadhaa arushie hata kenya tu watu tutajua namna ya kusambaziana.
 
Ana drama nyingi kama anataka fanyiwa send off, Hakuna press wala Nini, watamshika sio mda mrefu, au watatoa cable za internet baharini kuizima internet Tanzania nzima.

Mtu anaangaika utazani anaenda kulipiwa mahari bwana????!!?
sasa hao watakaotoa cabe baharini mbona hawana akili?
 
Hiyo hela haitoshi nauli ya kutorokea uswisi.
 
Mama ni muoga sana,yeye anaongea anavyotaka lakini anawazuia wenzake kuongea,je huyu Mama ni msafi?
 
tunaendelea kumsikiliza, kumbe alikuwa recruited na tiss tangu akiwa shule. anachotakiwa kufanya, atengeneza clip zake kadhaa arushie hata kenya tu watu tutajua namna ya kusambaziana.
 
Polepole siyo mtu mwepesi kiasi hicho.
Kosa kubwa walifanya kumpeleka Cuba ambako kuna sehemu ya mafunzo ya kijasusi.
Yule mjamaa na kule ndiko ujamaa umeshika hatamu.
Aliye toa wazo apelekwe Cuba alimpigisha shoti boss.
Sio rahisi ivyo
Alikosea kutangaza. Kama vipi arekodi video atupie kabla hawajampoteza ili tupate ubuyu.
Sio rahisi ivyo Ayo ni mambo ya Siasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…