GE2025 Polepole: Agosti 29, 2025 nitafafanua mambo kuhusu Kifo cha Magufuli; Rostam na Kikwete, Kashfa mbalimbali, deni la Taifa na wezi wanakoficha pesa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Heparin

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2021
Posts
450
Reaction score
3,368
Miongoni mwa atakayozungumza:
1. Biashara za Rostam Aziz
2. Ziara ya Magufuli Morogoro, na mazungumzo yao kuhusu Rostam
3. Kashfa ya Uniform za Jeshi la Polisi ambayo kesi yake ilikuwa stori nyingine baada ya Magufuli kufariki
4. Wezi wanakoficha pesa
5. Kashfa ya kukomboa ndege Afrika Kusini
6. Code aliyotoa JK Kawe kwenye uzinduzi wa kampeni
7. Miradi 4 ya 2020
8. Tathmini ya deni la Taifa
9. Kiini macho cha ahadi za CCM kwenye uchaguzi wa mwaka huu na utekelezaji wake
10. Uteuzi Haramu wa Rais Samia
11. Uhuru wa vyombo vya Habari

Muda: Saa 3:00 Usiku
 
View attachment 3456894

Da chura viziwi wamejawa viburi
 
Paruaneni ninyi MAFISADi mnaotumia uelewa mdogo na umasikini wa Watanzania kutubagaza...

Mshindwe kabisa na hakika nawaeleza huu UFISADI wenu kwetu, yana mwisho haya ..IPO SIKU
 
Pole pole tuambie, ilikuwaje Majaliwa anatuambia JPM ni mzima wa afya wakati alikuwa anakata roho???

Je saa100 na Majaliwa walikuwa hawana mawasiliano?????

Ni nani alimpitisha Saa100 kuwa makamu wa JPM??

Je huu ulikuwa sio mkakati wa kummaliza JPM ??
 
View attachment 3456894
Miongoni mwa atakayozungumza:
1. Biashara za Rostam Aziz
2. Ziara ya Magufuli Morogoro, na mazungumzo yao kuhusu Rostam
3. Kashfa ya Uniform za Jeshi la Polisi ambayo kesi yake ilikuwa stori nyingine baada ya Magufuli kufariki
4. Wezi wanakoficha pesa
5. Kashfa ya kukomboa ndege Afrika Kusini
6. Code aliyotoa JK Kawe kwenye uzinduzi wa kampeni
7. Miradi 4 ya 2020
8. Tathmini ya deni la Taifa
9. Kiini macho cha ahadi za CCM kwenye uchaguzi wa mwaka huu na utekelezaji wake
10. Uteuzi Haramu wa Rais Samia
11. Uhuru wa vyombo vya Habari

Muda: Saa 3:00 Usiku

Hadi waliko kina Ben, Azory, Kipanya, Mdude wauwaji wa Kibao, waliomjeruhi TAL, mdogo mdogo tutawajua!

Wahuni si watu wazuri.

Kataa wahuni!
 
Back
Top Bottom