GE2025 Polepole: Agosti 29, 2025 nitafafanua mambo kuhusu Kifo cha Magufuli; Rostam na Kikwete, Kashfa mbalimbali, deni la Taifa na wezi wanakoficha pesa

GE2025 Polepole: Agosti 29, 2025 nitafafanua mambo kuhusu Kifo cha Magufuli; Rostam na Kikwete, Kashfa mbalimbali, deni la Taifa na wezi wanakoficha pesa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Yote ya Moto. Tension ya hadhira ni kusikia majibu ya hoja za Polepole ambazo kimsingi hazijibiki. Wakikaa kimya watu wanapigia mstari
Vyura vya kihansi ndiyo maajabu ya dunia vyura vilipelekwa marekani tukashindwa gharama za kuvihudumia
 
Ile siyo nyomi ya kweli, ni maigizo.
Watu wamesombwa kutoka maeneo mengi, hadi kutokea mikoa mingine hata ya mbali kama Arusha.

Watumishi, walimu, wanafunzi, nk, kuhudhuria kwa lazima.

Wasanii kukodiwa kutumbuiza ili kuvutia wapenzi wao..

Sasa hao hao ndo wapiga kura. Tujiulize sisi wengine tunaweza kushawishi watu kwa wingi huo wakutupigia kura?
 
Miongoni mwa atakayozungumza:
1. Biashara za Rostam Aziz
2. Ziara ya Magufuli Morogoro, na mazungumzo yao kuhusu Rostam
3. Kashfa ya Uniform za Jeshi la Polisi ambayo kesi yake ilikuwa stori nyingine baada ya Magufuli kufariki
4. Wezi wanakoficha pesa
5. Kashfa ya kukomboa ndege Afrika Kusini
6. Code aliyotoa JK Kawe kwenye uzinduzi wa kampeni
7. Miradi 4 ya 2020
8. Tathmini ya deni la Taifa
9. Kiini macho cha ahadi za CCM kwenye uchaguzi wa mwaka huu na utekelezaji wake
10. Uteuzi Haramu wa Rais Samia
11. Uhuru wa vyombo vya Habari

Muda: Saa

Nyieeeeeeereeeeeeeeeee

Mungu huyu wetu sote
Mungu awarehemu mliopotezwa
Kikubwa bando na chaji.
 
Hivi polepole nondo anazomwaga huwa anapewa na nani?
 
Back
Top Bottom