GE2025 Polepole: Agosti 29, 2025 nitafafanua mambo kuhusu Kifo cha Magufuli; Rostam na Kikwete, Kashfa mbalimbali, deni la Taifa na wezi wanakoficha pesa

GE2025 Polepole: Agosti 29, 2025 nitafafanua mambo kuhusu Kifo cha Magufuli; Rostam na Kikwete, Kashfa mbalimbali, deni la Taifa na wezi wanakoficha pesa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mbona hizo hadidu na mpangilio wake na muda vinaendana na za Bwana Polepole?au ndio wewe Mkuu?
 
Huyo Pole pole kama kweli anajua sana aanze kwanza kumtaka aliempiga risasi Mwenyekiti wetu na wapi alipo Kada wetu kijana mahiri Ben Saanane.
Akitubutu hapa ndio nitakuwa na interest ya kumsikiliza maana najua yuko seruous na ni ma anamtegenea Mungu wa Mbinguni kama anavyodai.
Jamaa amekiri na ameomba msamaha ni vyema asamehewe.Kukiri kosa kunahitaji ujasiri na nguvu.
 
Jamaa amekiri na ameomba msamaha ni vyema asamehewe.Kukiri kosa kunahitaji ujasiri na nguvu.
Sawa kaomba msamaha, ila aseme sasaa nani alikua muhusika wa shambulio la Lissu na wako wapi kina Saanane, na je nani walihusika??
 
Polepole sema yote maana kwa sasa roho yako inatafutwa kuliko mgodi wa mwadui anao umiliki rostam. Sasa ni bora ulipue bomu tu
 
A. Kuhusu biashara zote za Bwana Rostam Aziz
B. Ziara ya mwisho aliyoifanya JPM - Morogoro.
C. kuhusu kifo cha John P. Magufuli.
D. Kashfa kubwa ya sare za Jeshi la Polisi. Niliwadokezea kidooogo 900
E. Kashfa ya kukomboa ndege South Africa. Uzi iLifutwa
F. Wezi wanaficha vipi fedha zao nje/ndani. Ziko Seychelles baadhi
G. kuhusu code za Jakaya Kikwete. Mzee Cheka Cheka
Leo naona rangi halisi za wanasiasa wa Tanzania zitajulika kama .Pia mbwa mwitu waliojivika ngozi za kondoo watajulikana.
 
Wamekosea sana Jana kumjibu kwa staili ile. Walitakiwa wajikite kwenye ilani, na kufafanua namna watakavyotekeleza Yale yaliyomo kwenye ilani.
Yote ya Moto. Tension ya hadhira ni kusikia majibu ya hoja za Polepole ambazo kimsingi hazijibiki. Wakikaa kimya watu wanapigia mstari
 
Hawana Raia pacha kweli?? utashangaa jamaa ni Mmarekani...Mnamkamata mnashangaa balazo wa US anaanza kutoa matamko mtu wao aachiliwe..ndo tutakapoelewa the game sasa...
 
Back
Top Bottom