GE2025 Polepole: Agosti 29, 2025 nitafafanua mambo kuhusu Kifo cha Magufuli; Rostam na Kikwete, Kashfa mbalimbali, deni la Taifa na wezi wanakoficha pesa

GE2025 Polepole: Agosti 29, 2025 nitafafanua mambo kuhusu Kifo cha Magufuli; Rostam na Kikwete, Kashfa mbalimbali, deni la Taifa na wezi wanakoficha pesa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Is it coincidence ama wewe na HPolepole ni mmoja?

Anyways, nashauri lingefanyika jambo hasa na Vyombo kuwaondoa hawa wanaotufanya tutembee hatua mbili mbele kisha kurudi 20 nyuma

Enough is enough 🙌

Vyombo washapewa mgao mkuu, Hapa ni Nguvu ya wananchi tuu, Ngoja pole pole na wenzake waendelee kuwajaza sumu
 
Jana alahamis ulishusha bomu uliloahidi ? maana nilikuwa sijaingia Jf Jana kwa walikuwepo naomba link ya Uzi
 
Back
Top Bottom