Arizona 1
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 1,766
- 3,500
Na wewe jitokeze useme alipo soka na mdude, yeye hajataka kulisemea hilo, wewe ni nani umpangie cha kusema? Rubbish!Tunataka atuambie yeye sio wewe nyumbu mfuata upepo
Na wewe jitokeze useme alipo soka na mdude, yeye hajataka kulisemea hilo, wewe ni nani umpangie cha kusema? Rubbish!Tunataka atuambie yeye sio wewe nyumbu mfuata upepo
Baada ya juhudi za hakikisho kuwa uchaguzi hautokuwepo mpaka reforms zifanyike na kuwaaminisha watu kila aina ya ubaya kutozaa matunda yoyote, sasa tunaona imekuja njia mpya ya kujaribu kuondoa credibility ya Mgombea uraisi kwa kusaga kunguni.A. Kuhusu biashara zote za Bwana Rostam Aziz
B. Ziara ya mwisho aliyoifanya JPM - Morogoro.
C. kuhusu kifo cha John P. Magufuli.
D. Kashfa kubwa ya sare za Jeshi la Polisi. Niliwadokezea kidooogo 900
E. Kashfa ya kukomboa ndege South Africa. Uzi iLifutwa
F. Wezi wanaficha vipi fedha zao nje/ndani. Ziko Seychelles baadhi
G. kuhusu code za Jakaya Kikwete. Mzee Cheka Cheka
Bomu la 3,4 na 5 zilifutwa na Mudi, lakini wakali wa vita walisha fanya yao...😜Jana alahamis ulishusha bomu uliloahidi ? maana nilikuwa sijaingia Jf Jana kwa walikuwepo naomba link ya Uzi
Jiongeze mkuu...😜 ushatafuniwa...🤣Mbona muda unaenda na wa polepole mkuu?
Na sisi Huku Berlin Itakuwa ni saa 1 Moja Jioni, nitawahi kupanda Tren ya kurudi Nyumbani nimsikilize . Mimi na Diaspora wenzangu wote tulioko Huku ugaibuni tunamfuatalia sana kwa Karibu. Funguka !Hapa USA itakuwa mapema tu
Kama atakayoyasema polepole ni kweli NTUPU basi rostamu ajiandae kunyongwa na Tundu Lissu ila sio UTAWALA wa ccm.
Wengine wapo MasakiOfisi ya CCM kuwa na kitengo cha wanahabari wa propaganda kila kona ya mitandao ya jamii wanaofisi zao rumumba pale mshahara buku saba kwa siku
Weka bundle Mapema lakini usisahau kuzima data,ili lisitumike vibaya na akili bandiaMbona muda unaenda na wa polepole mkuu?
Najua kwenye black market ya JF yatakuwepo mabomu yote hata ufuwe dk Moja baada ya kupost Wazee wa Pdf wanapita nao chap.Bomu la 3,4 na 5 zilifutwa na Mudi, lakini wakali wa vita walisha fanya yao...😜
Huna macho kabisa! Nyomi ya kusomba watu nchi nzima!Baada ya juhudi za hakikisho kuwa uchaguzi hautokuwepo mpaka reforms zifanyike na kuwaaminisha watu kila aina ya ubaya kutozaa matunda yoyote, sasa tunaona imekuja njia mpya ya kujaribu kuondoa credibility ya Mgombea uraisi kwa kusaga kunguni.
Kwa maoni yangu hizo zote ni kupoteza muda tu.. huku ground hali iko tofauti kabisa. Nyomi ile ya jana na watu wenye ushauwishi kujitokeza kuunga mkono Mgombea Uraisi..hivi hata nyie pia hamuogopi?
Gwajima aliahidi kupasua jipu baada ya siku 10..sasa ni zaidi ya wiki 2
Pole pole nae akaja na sijui tarehe 21 ya kukumbuka...pia hakuna kitu.
Hatari sana🤣Jiongeze mkuu...😜 ushatafuniwa...🤣