Barakoa 001
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 5,436
- 14,927
Yupo Vatican mzee, kule hakuingiliki.Mazingira ya ulaya hayo, Sweden, Switzerland au Germany.
Yupo Vatican mzee, kule hakuingiliki.Mazingira ya ulaya hayo, Sweden, Switzerland au Germany.
Ungekuwa karibu ningekukata kibao, mie na akili zangu nimfatilie zuchu na mondi..We umeleta nn,mbona hujachoka kufuatilia mapenzi ya zuchu na diamond
Tunataka atuambie yeye sio wewe nyumbu mfuata upepoAlipo kibao na mdude ndio huko alipo Ben...useless fellow!
Hata akileta Saa 10 usiku sawa tu,wahuni lazima waangamizwe safari hiiSina hakika kama huo muda mtandao utapatikana! Hizo dondoo alizo ainisha hapo ni kubwa mara kadhaa kuliko zote alizo wahi kuelezea.
Sasa kama anapigania tumbo lake si angebaki kuwa baloziThread 'Mimi mtu yeyote kama tu yuko CCM siwezi kumwamini . Polepole na Gwajima wote wanapigania matumbo yao' Mimi mtu yeyote kama tu yuko CCM siwezi kumwamini . Polepole na Gwajima wote wanapigania matumbo yao
Hakuna sehemu amesema lazima umuangalie, ushauri kama una bando la kidebe achana nae mkuu.Huyu jamaa anatumalizia MB tu yan anasema vitu kwa vificho ficho, mara ooh sitaji watu, sqsa ndio nn, yeye kama qmeahamua kumwaga mchele amwage sio anauma uma maneno
Kwani AI haiwezi kufanya hivyo?Wazee wa code background ya alipo kaa polepole ni America au ulaya?
TutakuwepoView attachment 3456894
Miongoni mwa atakayozungumza:
1. Biashara za Rostam Aziz
2. Ziara ya Magufuli Morogoro, na mazungumzo yao kuhusu Rostam
3. Kashfa ya Uniform za Jeshi la Polisi ambayo kesi yake ilikuwa stori nyingine baada ya Magufuli kufariki
4. Wezi wanakoficha pesa
5. Kashfa ya kukomboa ndege Afrika Kusini
6. Code aliyotoa JK Kawe kwenye uzinduzi wa kampeni
7. Miradi 4 ya 2020
8. Tathmini ya deni la Taifa
9. Kiini macho cha ahadi za CCM kwenye uchaguzi wa mwaka huu na utekelezaji wake
10. Uteuzi Haramu wa Rais Samia
11. Uhuru wa vyombo vya Habari
Muda: Saa 3:00 Usiku
Wanaangaika mwananyamala kumtafuta 😄Angalia Mzee vijana washatumwa uko Cuba...😂
Ubalozi ni issue kwako wewe mkazi wa Keko machungwa. Mtu aliyewahi kuonja pesa za mafungu ubalozi anaona kama takataka tuSasa kama anapigania tumbo lake si angebaki kuwa balozi
Mbona unaingilia mambo ya wapiga kelele?kwanza hyo HP asingejalibu kufungua hlo bakuli..Magu alikuwa hataniwi..Mama ni Mpole sana ila natarajia hatokuwa hvo awamu ya pili kwani kisha wasoma wanaomzunguuka.
Hivi kusema uongo ni kipaji? Polepole amenyang'anywa tonge Gani mdomoni?...Mzalendo gani hadi kwanza anyang,anywe tonge mdomoni !!
Magu alikuwa hataniwi? Kigogo2014 unamjua?kwanza hyo HP asingejalibu kufungua hlo bakuli..Magu alikuwa hataniwi..Mama ni Mpole sana ila natarajia hatokuwa hvo awamu ya pili kwani kisha wasoma wanaomzunguuka.
Nasubiri akuje na majibu hapaHivi kusema uongo ni kipaji? Polepole amenyang'anywa tonge Gani mdomoni?