GE2025 Polepole: Agosti 29, 2025 nitafafanua mambo kuhusu Kifo cha Magufuli; Rostam na Kikwete, Kashfa mbalimbali, deni la Taifa na wezi wanakoficha pesa

GE2025 Polepole: Agosti 29, 2025 nitafafanua mambo kuhusu Kifo cha Magufuli; Rostam na Kikwete, Kashfa mbalimbali, deni la Taifa na wezi wanakoficha pesa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Majizi ya Ccm hayapendi ukweli yatazima Internet
 
Hakuna sehemu amesema lazima umuangalie, ushauri kama una bando la kidebe achana nae mkuu.
Kuna watu Wanajipa umuhimu wasiokuwa nao... Wanalalamika utadhani kuna mahali Polepole kataja majina ya watu anaotaka wamsikilize. Mbona wengine Jana hatukuangalia yale maigizo pale Kawe na wenye faraguzi zao waliendelea na ratiba ya maigizo yao?

Hakuna mtu anayelazimishwa kumsikiliza Polepole.
 
Atakuwa alipanda lori jana, kwenda na kurudi na kupewa ahadi hewa.

Nchi inashindwa kujikomboa bado kuna watu wenye akili finyu kama hao mkuu.
 
Nakumbuka kiti alichopewa kukalia JPM, kiti cha ajabu ajabu sana. Uwa kinafikirisha sana.
Mi nadhani walichokifanya ni kuichakachua pacemaker electromagnetically (kwa mbali), Kwa kutumia wapiga picha wake.

Camera inachakachuliwa kwa kuifanya itoe frequency itakayo haribu uwezo wa pacemaker kufanya kazi. Mpiga picha anamsogelea muhusika, kama anampiga picha, kumbe anatuma electromagnetic pulse kwenye pacemaker.

Baada ya hapo, mapigo ya moyo yakizingua, pacemaker haiwezi sawazisha mapigo, mtu anapelekwa hospitali, basi kazi inamaliziwa huko.
 
Sijamsikia Polepole akisema lolote kuhusu haja ya katiba itakayokuwa ya vyama vingi kwa dhati. Katiba isiyoweka vipengele vya kulinda chama kimoja. Katiba isiyompa msajili uwezo wa kukwamisha vyama.

Yeye ni Samia asigombee. Kana kwamba asipogombea ghafla demokrasi yetu itakuwa imeimarika. Vipi mbele ya safari tukipata Samia mwengine.
hajamaliza kuongea na hilo atalisema
 
View attachment 3456894
Miongoni mwa atakayozungumza:
1. Biashara za Rostam Aziz
2. Ziara ya Magufuli Morogoro, na mazungumzo yao kuhusu Rostam
3. Kashfa ya Uniform za Jeshi la Polisi ambayo kesi yake ilikuwa stori nyingine baada ya Magufuli kufariki
4. Wezi wanakoficha pesa
5. Kashfa ya kukomboa ndege Afrika Kusini
6. Code aliyotoa JK Kawe kwenye uzinduzi wa kampeni
7. Miradi 4 ya 2020
8. Tathmini ya deni la Taifa
9. Kiini macho cha ahadi za CCM kwenye uchaguzi wa mwaka huu na utekelezaji wake
10. Uteuzi Haramu wa Rais Samia
11. Uhuru wa vyombo vya Habari

Muda: Saa 3:00 Usiku
Kumekucha!
Sasa kumekucha,Sasa kumekuuchaa(Kwa sauti ya Komba)
 
View attachment 3456894
Miongoni mwa atakayozungumza:
1. Biashara za Rostam Aziz
2. Ziara ya Magufuli Morogoro, na mazungumzo yao kuhusu Rostam
3. Kashfa ya Uniform za Jeshi la Polisi ambayo kesi yake ilikuwa stori nyingine baada ya Magufuli kufariki
4. Wezi wanakoficha pesa
5. Kashfa ya kukomboa ndege Afrika Kusini
6. Code aliyotoa JK Kawe kwenye uzinduzi wa kampeni
7. Miradi 4 ya 2020
8. Tathmini ya deni la Taifa
9. Kiini macho cha ahadi za CCM kwenye uchaguzi wa mwaka huu na utekelezaji wake
10. Uteuzi Haramu wa Rais Samia
11. Uhuru wa vyombo vya Habari

Muda: Saa 3:00 Usiku
Tunahitaji utueleze kuhusu watekaji na wanapowaficha watu wetu.
 
Back
Top Bottom