GE2025 Polepole: Agosti 29, 2025 nitafafanua mambo kuhusu Kifo cha Magufuli; Rostam na Kikwete, Kashfa mbalimbali, deni la Taifa na wezi wanakoficha pesa

GE2025 Polepole: Agosti 29, 2025 nitafafanua mambo kuhusu Kifo cha Magufuli; Rostam na Kikwete, Kashfa mbalimbali, deni la Taifa na wezi wanakoficha pesa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
MTANZANIA SI MTU WA KUMTETEA HANA AKILI WALA UFAHAMU MWACHENI AFE TU.
 
View attachment 3456894
Miongoni mwa atakayozungumza:
1. Biashara za Rostam Aziz
2. Ziara ya Magufuli Morogoro, na mazungumzo yao kuhusu Rostam
3. Kashfa ya Uniform za Jeshi la Polisi ambayo kesi yake ilikuwa stori nyingine baada ya Magufuli kufariki
4. Wezi wanakoficha pesa
5. Kashfa ya kukomboa ndege Afrika Kusini
6. Code aliyotoa JK Kawe kwenye uzinduzi wa kampeni
7. Miradi 4 ya 2020
8. Tathmini ya deni la Taifa
9. Kiini macho cha ahadi za CCM kwenye uchaguzi wa mwaka huu na utekelezaji wake
10. Uteuzi Haramu wa Rais Samia
11. Uhuru wa vyombo vya Habari

Muda: Saa 3:00 Usiku
Polepole nilikuwa simpendi ila kwa hili amenikosha sana.
 
nahisi umeshaanza kutuchosha mzee.hoja zako zaweza kuwa na mashiko lakini muda haupo kuweza kutatua changamoto za hoja zako.twende kwenye uchaguzin tu labda Mungu atainua wapinzania ndani ya bunge ili tupate katiba mpya
 
Jana kwenye uzinduzi wa kampeni yule Mzee alikua anaongea lakini akua na confidence Tuliozoe Japokua alijikakamua. Kifo cha Mkapa na Magufuli kufuatana tena vifo vya ghafla mda utasema ukweli dunia haina siri
Ni Mkapa, Kijazi, Mfugale, Sharif Hamad, Magu na Mbuge. Hawa wote walikuwa karibu sana na Magu.
 
Huu utaratbu wa polepole kutoa dondooo sio mzuri mitandao itazuiwa yani yeye press zake zingekua za kushtuliza tu paap ila hiio mpk dondooo na muda haijakaaa sawa.

Naamini hutu mtu anatupaga RECORDING VIDEO siamini kama ni live, yuko wapi wasipoweza m track wakapajua? Huu mwaka huu wekeni akiba za chakula ndani naiona LOCK DOWN
 
nahisi umeshaanza kutuchosha mzee.hoja zako zaweza kuwa na mashiko lakini muda haupo kuweza kutatua changamoto za hoja zako.twende kwenye uchaguzin tu labda Mungu atainua wapinzania ndani ya bunge ili tupate katiba mpya
Jisemee mwenyewe usitusemee wote. Usitumie "royal we"! Kama umechoka, umechoka wewe peke yako. Telemka train iendelee. Polepole anawapeleka mbio wanamtandao, na sasa wanaibuka mmojammoja.
 
Huu utaratbu wa polepole kutoa dondooo sio mzuri mitandao itazuiwa yani yeye press zake zingekua za kushtuliza tu paap ila hiio mpk dondooo na muda haijakaaa sawa.

Naamini hutu mtu anatupaga RECORDING VIDEO siamini kama ni live, yuko wapi wasipoweza m track wakapajua? Huu mwaka huu wekeni akiba za chakula ndani naiona LOCK DOWN
Kafanya vizuri ili uwe na bundle la kutosha
 
Mimi sidhani km wapo watu wenye akili na wanamfatilia !!

mfamaji Mzalendo gani hadi kwanza anyang,anywe tonge mdomoni !!

Kama katoto kadogo umekitoa chupa ya maziwa Mdomoni kilio ukimpa kimyaaaa haaàaaaaa!!!

Pole pole Baada kukosa Uhakika wa kula Vidali vya kutosha !!!

kwasasa lazima Usiku uwote ndoto za Rip JPM kila siku leo kaota lile kesho lile unajiita mwenye maono!!!

mwisho Polepole atazoeya tu kuwa nayeye kwasasa ni wananchi wakawaida kabisa!!

Na kulima kunaitaji Jembe sio Mdomo kile anachotaka kusema sio kipya cha zamani na watanzania kama kusikia wangependa kusikia mambo mapya sio mambo ya tangu 2020 tena nyuma zaid!!!!!
The fact that you're here talking about this contradicts your statement
 
Kafanya vizuri ili uwe na bundle la kutosha
Kutuandaa ni sawa, hao wanao enda kuumbuliwa je unafikiri wanafanyaje?

Leo hii mtu akwambie Ntakuonyesha kitu saa 5 usiku nyumbani kwako utaona si unajiamini sana una ulinzi subiri saa 5 usiki ifike utaona.

Halafu nakwambia maeneo ntayoingia nikija kwako hiyo saa 5 usiku.

Wewe kama mwenye nyumba utachukua hatua gani ukipata Threat ya namna hiyo?

Jibu lako sasa Li Apply kwenye hili la Pole Pole jichukulie wewe ndio hao wanao umbuliwa na HP halafu uwezo wa kuzuia hilo unao utafanyaje?
 
Back
Top Bottom