Kampeni za mwaka huku ni ccm vs polepoleView attachment 3456894
Miongoni mwa atakayozungumza:
1. Biashara za Rostam Aziz
2. Ziara ya Magufuli Morogoro, na mazungumzo yao kuhusu Rostam
3. Kashfa ya Uniform za Jeshi la Polisi ambayo kesi yake ilikuwa stori nyingine baada ya Magufuli kufariki
4. Wezi wanakoficha pesa
5. Kashfa ya kukomboa ndege Afrika Kusini
6. Code aliyotoa JK Kawe kwenye uzinduzi wa kampeni
7. Miradi 4 ya 2020
8. Tathmini ya deni la Taifa
9. Kiini macho cha ahadi za CCM kwenye uchaguzi wa mwaka huu na utekelezaji wake
10. Uteuzi Haramu wa Rais Samia
11. Uhuru wa vyombo vya Habari
Muda: Saa 3:00 Usiku
Mazingira ya ulaya hayo, Sweden, Switzerland au Germany.Wazee wa code background ya alipo kaa polepole ni America au ulaya?
Wamekosea sana Jana kumjibu kwa staili ile. Walitakiwa wajikite kwenye ilani, na kufafanua namna watakavyotekeleza Yale yaliyomo kwenye ilani.Kampeni za mwaka huku ni ccm vs polepole
Alipo kibao na mdude ndio huko alipo Ben...useless fellow!Sisi tunataka atuambie wapi alipo Ben Saanane. Hayo mengine ni kama story za ma ex tu.
Acha abwabwaje. Wewe unayejua unatusaidia Nini?Hana anachojua cha maana huyo... ana bwabwaja tu
Nakumbuka kiti alichopewa kukalia JPM, kiti cha ajabu ajabu sana. Uwa kinafikirisha sana.Safari ya JPM Moro ndiyo iliyoleta shida?
Tuletee wewe unachojua, useless kbsHana anachojua cha maana huyo... ana bwabwaja tu
Afunguke nae, asilete mambo robo robo.
Kwenye hili sakata JK hachomoki, anakenua kenua kumbe ni muuaji mkubwa.Pole pole tuambie, ilikuwaje Majaliwa anatuambia JPM ni mzima wa afya wakati alikuwa anakata roho???
Je saa100 na Majaliwa walikuwa hawana mawasiliano?????
Ni nani alimpitisha Saa100 kuwa makamu wa JPM??
Je huu ulikuwa sio mkakati wa kummaliza JPM ??
Uharibifu wa nchi unaofanywa na sa100 na genge lake ww huuoni? acha akemee anapoweza na wewe jitokeze uisemee katiba na demokrasiaSijamsikia Polepole akisema lolote kuhusu haja ya katiba itakayokuwa ya vyama vingi kwa dhati. Katiba isiyoweka vipengele vya kulinda chama kimoja. Katiba isiyompa msajili uwezo wa kukwamisha vyama.
Yeye ni Samia asigombee. Kana kwamba asipogombea ghafla demokrasi yetu itakuwa imeimarika. Vipi mbele ya safari tukipata Samia mwengine.
Unaenda nao hatua kwa hatua.Afunguke nae, asilete mambo robo robo.
Great, humu kuna watu wamelipwa na CCM kuharibu na kujaribu kutibua mazungumzo yako........Usichoke kutuhabarisha, tutee nchi yetu. Hii nchi ni yetu watanzania wote, siyo ya Samia, Abdul, Kikwete, Rostam, Tulia na wezi wengine. Tuipiganie nchi yetu.View attachment 3456894
Miongoni mwa atakayozungumza:
1. Biashara za Rostam Aziz
2. Ziara ya Magufuli Morogoro, na mazungumzo yao kuhusu Rostam
3. Kashfa ya Uniform za Jeshi la Polisi ambayo kesi yake ilikuwa stori nyingine baada ya Magufuli kufariki
4. Wezi wanakoficha pesa
5. Kashfa ya kukomboa ndege Afrika Kusini
6. Code aliyotoa JK Kawe kwenye uzinduzi wa kampeni
7. Miradi 4 ya 2020
8. Tathmini ya deni la Taifa
9. Kiini macho cha ahadi za CCM kwenye uchaguzi wa mwaka huu na utekelezaji wake
10. Uteuzi Haramu wa Rais Samia
11. Uhuru wa vyombo vya Habari
Muda: Saa 3:00 Usiku
Kanyagia hapo hapo hadi waanze kutajana mbwa hawa.View attachment 3456894