GE2025 Polepole: Agosti 29, 2025 nitafafanua mambo kuhusu Kifo cha Magufuli; Rostam na Kikwete, Kashfa mbalimbali, deni la Taifa na wezi wanakoficha pesa

GE2025 Polepole: Agosti 29, 2025 nitafafanua mambo kuhusu Kifo cha Magufuli; Rostam na Kikwete, Kashfa mbalimbali, deni la Taifa na wezi wanakoficha pesa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
View attachment 3456894
Miongoni mwa atakayozungumza:
1. Biashara za Rostam Aziz
2. Ziara ya Magufuli Morogoro, na mazungumzo yao kuhusu Rostam
3. Kashfa ya Uniform za Jeshi la Polisi ambayo kesi yake ilikuwa stori nyingine baada ya Magufuli kufariki
4. Wezi wanakoficha pesa
5. Kashfa ya kukomboa ndege Afrika Kusini
6. Code aliyotoa JK Kawe kwenye uzinduzi wa kampeni
7. Miradi 4 ya 2020
8. Tathmini ya deni la Taifa
9. Kiini macho cha ahadi za CCM kwenye uchaguzi wa mwaka huu na utekelezaji wake
10. Uteuzi Haramu wa Rais Samia
11. Uhuru wa vyombo vya Habari

Muda: Saa 3:00 Usiku
Watazima mitandao
 
Thread 'Mimi mtu yeyote kama tu yuko CCM siwezi kumwamini . Polepole na Gwajima wote wanapigania matumbo yao' Mimi mtu yeyote kama tu yuko CCM siwezi kumwamini . Polepole na Gwajima wote wanapigania matumbo yao

GFfUGgLWkAAh9uE.jpeg
 
Sisi tunataka atuambie wapi alipo Ben Saanane. Hayo mengine ni kama story za ma ex tu.
Wewe na nani? Kwa Nini husemi unataka kujua aliko Mdude na wengine? Kwani ambaye kapotezwa ni Ben tu?

Ukisema huna interest na hayo mengine jisemee wewe! Mimi nataka kusikia yote maana ni ya muhimu. Kama unaona hilo unalotaka si miongoni mwa atakayozungumza, usimsikilize, wengine acha wasikilize.
 
Back
Top Bottom