Ndebile
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 8,246
- 12,796
Nawaza tu, IPO siku JF watatuuza na id zetu fake...Sasa kama kila akiandika moods wanafuta, kuna haja gani
Nawaza tu, IPO siku JF watatuuza na id zetu fake...Sasa kama kila akiandika moods wanafuta, kuna haja gani
Bando 24/7 mkuuWeka bundle Mapema lakini usisahau kuzima data
Endelea kuamini hivyo kama Ayatollah WA Iran...Maneno hayatabadili kitu na sahivi unageuka kama mwashambwa
GoodBando 24/7 mkuu
TutakuwepoGood
Change inaanza na wewe
Jf kuna mawinga wa hatari, k/koo haifui dafu...😜Najua kwenye black market ya JF yatakuwepo mabomu yote hata ufuwe dk Moja baada ya kupost Wazee wa Pdf wanapita nao chap.
Ila Ma Generali wanakuwa ni watu wazima wenye Ujuzi na uzeofu mwingi kuongoza Vita, Ingawa wao siyo wapiganishaji , wapiganishaji huanzia Rank ya Brigadier kushuka Chini !Pamoja na hayo, si unajua vitani huenda maaskari Vijana?
If you know what I mean
Code ishafunguka tayari kwa mtu makini.Is it coincidence ama wewe na HPolepole ni mmoja?
Anyways, nashauri lingefanyika jambo hasa na Vyombo kuwaondoa hawa wanaotufanya tutembee hatua mbili mbele kisha kurudi 20 nyuma
Enough is enough 🙌
Aliandika chuma hakkumaliza dakika tano wakapita nao ilikua Mchana hivi hiviJana alahamis ulishusha bomu uliloahidi ? maana nilikuwa sijaingia Jf Jana kwa walikuwepo naomba link ya Uzi
Si Mbaya mkimalizana hata Ile ya Alfajiri inakuwaga Poa tu. Atakuvumilia.Leo mama watoto namuuliza mapema kama anautaka, kama anautaka nimpe saa 1 1, mpaka saa 3 tumemalizana . Kuanzia saa 3 nitakuwa bize, mpaka mr. Slow slow amalize.. akishindwa saa moja basi avumilie mpaka nimalize kuangalia show ya slow-slow.
Huyu ni HpMbona muda unaenda na wa polepole mkuu