GE2025 Polepole: Agosti 29, 2025 nitafafanua mambo kuhusu Kifo cha Magufuli; Rostam na Kikwete, Kashfa mbalimbali, deni la Taifa na wezi wanakoficha pesa

GE2025 Polepole: Agosti 29, 2025 nitafafanua mambo kuhusu Kifo cha Magufuli; Rostam na Kikwete, Kashfa mbalimbali, deni la Taifa na wezi wanakoficha pesa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
A. Kuhusu biashara zote za Bwana Rostam Aziz
B. Ziara ya mwisho aliyoifanya JPM - Morogoro.
C. kuhusu kifo cha John P. Magufuli.
D. Kashfa kubwa ya sare za Jeshi la Polisi. Niliwadokezea kidooogo 900
E. Kashfa ya kukomboa ndege South Africa. Uzi iLifutwa
F. Wezi wanaficha vipi fedha zao nje/ndani. Ziko Seychelles baadhi
G. kuhusu code za Jakaya Kikwete. Mzee Cheka Cheka
Aubwewe ndio Slowslow😂
 
Ndio nimekuja kuulizia, na alisema ataweka na kule X vipi ameweka?
Ishi nazo hizo mkuu kiroho safi kabla hazijafutwa.
 

Attachments

  • Screenshot_20250829-013728.jpg
    Screenshot_20250829-013728.jpg
    298.2 KB · Views: 24
  • Screenshot_20250829-013748.jpg
    Screenshot_20250829-013748.jpg
    375.3 KB · Views: 23
  • Screenshot_20250829-013755.jpg
    Screenshot_20250829-013755.jpg
    356.1 KB · Views: 26
Kama atakayoyasema polepole ni kweli NTUPU basi rostamu ajiandae kunyongwa na Tundu Lissu ila sio UTAWALA wa ccm.
Huyo Pole pole kama kweli anajua sana aanze kwanza kumtaka aliempiga risasi Mwenyekiti wetu na wapi alipo Kada wetu kijana mahiri Ben Saanane.
Akitubutu hapa ndio nitakuwa na interest ya kumsikiliza maana najua yuko seruous na ni ma anamtegenea Mungu wa Mbinguni kama anavyodai.
 
A. Kuhusu biashara zote za Bwana Rostam Aziz
B. Ziara ya mwisho aliyoifanya JPM - Morogoro.
C. kuhusu kifo cha John P. Magufuli.
D. Kashfa kubwa ya sare za Jeshi la Polisi. Niliwadokezea kidooogo 900
E. Kashfa ya kukomboa ndege South Africa. Uzi iLifutwa
F. Wezi wanaficha vipi fedha zao nje/ndani. Ziko Seychelles baadhi
G. kuhusu code za Jakaya Kikwete. Mzee Cheka Cheka
Mzee una gubu sana...mwanamme kuwa na gubu hivi ni kujitakia pressure za bureee TU..
MaMa TuNaE mpaka 2030
 
Baada ya juhudi za hakikisho kuwa uchaguzi hautokuwepo mpaka reforms zifanyike na kuwaaminisha watu kila aina ya ubaya kutozaa matunda yoyote, sasa tunaona imekuja njia mpya ya kujaribu kuondoa credibility ya Mgombea uraisi kwa kusaga kunguni.

Kwa maoni yangu hizo zote ni kupoteza muda tu.. huku ground hali iko tofauti kabisa. Nyomi ile ya jana na watu wenye ushauwishi kujitokeza kuunga mkono Mgombea Uraisi..hivi hata nyie pia hamuogopi?
Gwajima aliahidi kupasua jipu baada ya siku 10..sasa ni zaidi ya wiki 2
Pole pole nae akaja na sijui tarehe 21 ya kukumbuka...pia hakuna kitu.
wanahangaika t na hawata fanikiwa wanalolitaka mambo yanaendelea kama kawaida
 
Back
Top Bottom