Msemaji wa Familia
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 875
- 839
Ni Kumuomba Mungu azidi kujizuia , maana Kipindi cha Miezi 2 yote kukiwa na hizi movements na bara bara za kwetu Huku Kisesa Vijini zilivyo, kumaliza salama kunahitaji Sala za asubuhi na Jioni !