Kumbe huyu ndio alikuwa anamshauri JPM mambo ya kupenda sana kutumia jeshi . Amka pole pole, zama zimebadilikaBado ana element za mwendazake. Maana yeye kila kitu jeshi. Korosho Jeshi, kuteka maduka ya fedha Jeshi, Kuiba uchaguzi Jeshi. Yaani yeye yuko kwenye Jeshi jeshi jeshi jeshi. Apuuzwe tu. Corona sio homa ya kideri ya kuku.
Kunywa Wewe, umfuate baba ako huko Gamboshi!Upuuzi mtupu.
Kunywa dawa za asili wewe achana na hayo masumu ya wazungu.
Kujitia tia tu ujuaji na usomi uchwara!
Kimtu kikishamiliki simu ya kioo basi kinajifanya kimeshakuwa kisomi na chenye weledi!Basi, siyo janga la kimataifa, ni local problem, lakini Kariakoo hamjaugua mafua, your foot!
Sasa kikifichwa jeshini kitafaa nini - kitaajiri akina nani? Mawazo ya ajabu sana!Mbunge wa Kuteuliwa na Rais, Humphrey Polepole leo Bungeni ameongelea suala la Covid na kusema wameambiwa Corona inaendelea. Polepole ametoa Rai kujenga kiwanda cha mimea dawa kulingana na Ilani ya CCM.
Polepole amesema watu watatibiwa na kupona na mimea dawa lakini Rai yake kiwanda hicho kisiwekwe Uraiani badala yake kifichwe kwenye Kambi ya Jeshi ambapo hakuna mtu anaweza kufika kwani ni Vita na wakijua zinatengenezwa dawa kupambana na Uviko watahujumu.
"Nimesikia wakubwa jana wanasema tupewe chanjo Bilioni moja tuje kudungwa hapa, nilikuwa natoa Rai tuwekeze vya kwetu, local solution for local problem" Alisema Polepole
Maneno meeeengi, angalia begani kwako hapo kama hujachanjwa, hizi hizi chanjo za Kizungu?! Uganga wako wa Kienyeji kaa nao mwenyewe, Tanzania imeshakubali kurudi kwenye ulimwengu wa kisasa!Kimtu kikishamiliki simu ya kioo basi kinajifanya kimeshakuwa kisomi na chenye weledi!
Wengine humu hata kuandika hamjui lakini mpo tu mnajitutumua hovyo hovyo.
Dunia ni zaidi ya uijuavyo binti. Tunaijua kuliko wengi wenu humu vinyangarika msiojua chochote zaidi ya kula na kujamba.
Ati sitaki majani ya muarobaini nataka chanjo ya ujeremani!!!
Piga muarobaini wako swaafiii kabisa, you will stay safe and healthy!
Kujitia tia tu usomi wa kuigiza hapa!
Ooohhh nataka chanjo ya jeremani!!
Chanjo ya jeremani???? Tengeneza ya kwako halafu tutaiita "santesandy vaccine" au kwa kimang'ati tutasema ni "chanjo ya santesandy".
Si unajiita msomi wewe?
Unalilia lilia tu machanjo ya watu hujui hata yametoka wapi unabugia bugia tu hovyo hovyo!
Begani kwangu wewe unapajua?Maneno meeeengi, angalia begani kwako hapo kama hujachanjwa, hizi hizi chanjo za Kizungu?!
Mkuu umeongea pwenti. Hata mimi nawashangaa hawa wanaomlaumu huyo mbunge. Kwa kifupi anataka Tanzania wajitafutie dawa wenyewe baada ya kuona hizo chanjo za wazungu hazifanyi kazi na kibaya zaidi zinaleta side effects.Kimtu kikishamiliki simu ya kioo basi kinajifanya kimeshakuwa kisomi na chenye weledi!
Wengine humu hata kuandika hamjui lakini mpo tu mnajitutumua hovyo hovyo.
Dunia ni zaidi ya uijuavyo binti. Tunaijua kuliko wengi wenu humu vinyangarika msiojua chochote zaidi ya kula na kujamba.
Ati sitaki majani ya muarobaini nataka chanjo ya ujeremani!!!
Piga muarobaini wako swaafiii kabisa, you will stay safe and healthy!
Kujitia tia tu usomi wa kuigiza hapa!
Ooohhh nataka chanjo ya jeremani!!
Chanjo ya jeremani???? Tengeneza ya kwako halafu tutaiita "santesandy vaccine" au kwa kimang'ati tutasema ni "chanjo ya santesandy".
Si unajiita msomi wewe?
Unalilia lilia tu machanjo ya watu hujui hata yametoka wapi unabugia bugia tu hovyo hovyo!
Mkuu kwa taarifa yako kunawat wanalipwa hum kukubali na kukataa kila kitu kizuri wao kila Jambo liliotendwa awam ya 5 ni baya... Wanatamni kwenda kulima na kuharb miundombinu yote iliyo anzishwa na hawatki kusikia kizur...Mkuu umeongea pwenti. Hata mimi nawashangaa hawa wanaomlaumu huyo mbunge. Kwa kifupi anataka Tanzania wajitafutie dawa wenyewe baada ya kuona hizo chanjo za wazungu hazifanyi kazi na kibaya zaidi zinaleta side effects.
Hivi lini sisi waafrika tutaanza kujitegemea,tujaribu kujitegemea jamani sio kila kitu tutegemee kaka zetu. Tusiogope kukosea ndio kujuwa njia huko. Hawa hawa wanaopinga ndio was kwanza kulalamika ukosefu wa ajira na kuilamu serekali kwanini serekali haina ubunifu kulitatua hili tatizo. Hapa nachokiona watu wanakomenti kisiasa na kichuki. Huyo mbunge wanamchukia kwa hiyo mawazo yoyote atakayoyatoa hata yawe mazuri bado watampinga tu. Serikali inafaa kutambua huu ndo muda wa kuanza kujitegemea na kuunda upya mifumo ya elimu. Watanzania kwenye mambo ya msingi tuache siasa.
Hii mitandao siku hizi inazaa "mob thinking".Mkuu umeongea pwenti. Hata mimi nawashangaa hawa wanaomlaumu huyo mbunge. Kwa kifupi anataka Tanzania wajitafutie dawa wenyewe baada ya kuona hizo chanjo za wazungu hazifanyi kazi na kibaya zaidi zinaleta side effects.
Hivi lini sisi waafrika tutaanza kujitegemea,tujaribu kujitegemea jamani sio kila kitu tutegemee kaka zetu. Tusiogope kukosea ndio kujuwa njia huko. Hawa hawa wanaopinga ndio was kwanza kulalamika ukosefu wa ajira na kuilamu serekali kwanini serekali haina ubunifu kulitatua hili tatizo. Hapa nachokiona watu wanakomenti kisiasa na kichuki. Huyo mbunge wanamchukia kwa hiyo mawazo yoyote atakayoyatoa hata yawe mazuri bado watampinga tu. Serikali inafaa kutambua huu ndo muda wa kuanza kujitegemea na kuunda upya mifumo ya elimu. Watanzania kwenye mambo ya msingi tuache siasa.
Point.... Kama unajuice karbu chukua ntalipia mkuuHii mitandao siku hizi inazaa "mob thinking".
Wengine wafuata upepo tu wanasombwa kama msafara wa nyumbu. Ni hatari sana.
Hata serikali ikitaka kupitisha ajenda zake ovu ni rahisi sana kwa sababu ya mitandao hii.
Unawa-brainwash tu hawa nyumbu!
Serikali inavuna mapesa mengi ya ruzuku na mikopo kutoka kwenye hii MIRADI ya chanjo na corona.
Tusipojitizama tutakuwa WATUMWA WA MAPESA ya wazungu na kupuuza athari pana zitakazotukumba hapo baadae.
Wazungu sio kwamba wanatupenda kiasi hicho.
Lazima tujifunze kujitegemea. Vinginevyo tutafanyiwa ujasusi wa kila aina.
Dah! Kama haya kweli basi tutachelewa sanaMkuu kwa taarifa yako kunawat wanalipwa hum kukubali na kukataa kila kitu kizuri wao kila Jambo liliotendwa awam ya 5 ni baya... Wanatamni kwenda kulima na kuharb miundombinu yote iliyo anzishwa na hawatki kusikia kizur...
Harafu Sasa hakuna hoja ila tu watimize kusudi la kuiona awam5 haikufanya chochote..
Polepole ametujulisha tu kuwa huko ndani si kuzuri wanarumbana... Na mwisho wa siku wataanza kutajana..
Hebu tazama watu wanavo lazimisha kuwepo kwa c19 yaan utafkr ndo umegunduliwa Jana.. et barakoa unajiuliza hawa waishi hii nchi au wao wananchi nyingine huwaelewi Kabisa..
Mwisho unanyamaza tu kuwashangaa na hayo majib et ya kitaalam..
Mkuu tulikuwa tunapita kigum ila lilikuwa na manufaa makubwa nmo kwa kizazi kijacho... Ila Sasa huenda tukarud nyuma maraja 7... Cku tunastuka... Tutakuwa tumechelewa na hao hao watakuwa wanatucheka...Dah! Kama haya kweli basi tutachelewa sana
Katibu mwenezi msitaafu wa ccm na mbunge wa kuteuliwa wa bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania bwana Humphrey Polepole amehoji ni kwa nini watanzania wanataka kuacha mbinu za asili zilizotusaidia mwaka jana kupambana na corona na tukaibuka na mafanikio makubwa kiuchumi na kijamii?Bado ana element za mwendazake. Maana yeye kila kitu jeshi. Korosho Jeshi, kuteka maduka ya fedha Jeshi, Kuiba uchaguzi Jeshi. Yaani yeye yuko kwenye Jeshi jeshi jeshi jeshi. Apuuzwe tu. Corona sio homa ya kideri ya kuku.
Huyu bado anawaza mizizi tu, kiwand kipelekwe jeshini kwani tunatengeneza mbomu? Anawaza kizamni bado.Mbunge wa Kuteuliwa na Rais, Humphrey Polepole leo Bungeni ameongelea suala la Covid na kusema wameambiwa Corona inaendelea. Polepole ametoa Rai kujenga kiwanda cha mimea dawa kulingana na Ilani ya CCM.
Polepole amesema watu watatibiwa na kupona na mimea dawa lakini Rai yake kiwanda hicho kisiwekwe Uraiani badala yake kifichwe kwenye Kambi ya Jeshi ambapo hakuna mtu anaweza kufika kwani ni Vita na wakijua zinatengenezwa dawa kupambana na Uviko watahujumu.
"Nimesikia wakubwa jana wanasema tupewe chanjo Bilioni moja tuje kudungwa hapa, nilikuwa natoa Rai tuwekeze vya kwetu, local solution for local problem" Alisema Polepole
Hivi sio huyu alieamuru korona ikae kwa adabu Tanzania na akajitapa kwenye media kwamba korona imemtiiMbunge wa Kuteuliwa na Rais, Humphrey Polepole leo Bungeni ameongelea suala la Covid na kusema wameambiwa Corona inaendelea. Polepole ametoa Rai kujenga kiwanda cha mimea dawa kulingana na Ilani ya CCM.
Polepole amesema watu watatibiwa na kupona na mimea dawa lakini Rai yake kiwanda hicho kisiwekwe Uraiani badala yake kifichwe kwenye Kambi ya Jeshi ambapo hakuna mtu anaweza kufika kwani ni Vita na wakijua zinatengenezwa dawa kupambana na Uviko watahujumu.
"Nimesikia wakubwa jana wanasema tupewe chanjo Bilioni moja tuje kudungwa hapa, nilikuwa natoa Rai tuwekeze vya kwetu, local solution for local problem" Alisema Polepole
Inategemea mental abilities (hierarchical structure) ya msikikilizazaji , Kama ni narrow specific abilities kama alivyo Polepole utujua polpole ndie Carl Friedrich Gauss wa zama hizi, na kama ana general ability atajua Poleople ni big time & a space waster of the millenium.Mbona ameongea point nzuri tu.....
au una wivu nae.....
ama huna akili
My God, ni msomi kiwango cja shahada ya pili. Anafikiria kiwanda kiwekwe jeshini! Huyu mtu ni hatari. Kwani raisi hawezi kutenguwa uteuzi wa mbunge aliyemteua?Mbunge wa Kuteuliwa na Rais, Humphrey Polepole leo Bungeni ameongelea suala la Covid na kusema wameambiwa Corona inaendelea. Polepole ametoa Rai kujenga kiwanda cha mimea dawa kulingana na Ilani ya CCM.