Kumbe ndio maana Gwajima akasisitiza CHADEMA wapewe minimum reforms kisha wakaipige
kwenye uchaguzi
Hawa watapewa mahela utawaona wanatoa taarifa kinzani mbele ya kameraNakubaliana Nawewe, watajiyokeza CHAUMA, na AcT, ADC kumpinga Polepole.
Ni kawaida Kwa Tanzania
Tunataka watuletee mabadiliko mezani --- hili hawawezi kufanyaPole pole kashasema pa kuanzia. Unataka nini tena.
KNi fedheha kwa jaji wa mahakama kuwa sehemu ya uchafu huu, lakini tufanyeje naye ndoto yake ni kuteuliwa. Jaji wa mahakama ya. rufani na kuwa na uhakika wa maisha Hadi kifo.
Ni kulikataa DUDE la kuchakachulia kura. " Integrated systems". Mfumo wa CCM kuwa integrated kwenye mfumo wa Tume ya uchaguzi na ule wa NIDA.Kasemaje mkuu, naomba unidokeze tu kwa kifupi kama hutojali!
Tuanzie wapi?
Hili ni swali muhimu kwangu, naomba usinichukulie kama mmoja wa wahuni humu mtandaoani. Naomba tu jibu.
Usiwe mpumbavu kupita kiasi, ujinga kidogo tu unatoshaKuna maswali hapa nimeulizwa ambayo yametokana na alichosema Polepole:
1. Tupo kwenye zama za kidigitali ,je kuna kosa vyama kulink taarifa za wapigakura wake na mfumo wa NIDA ili kurahisisha utambuzi ?
2. Utaratibu wa kupiga kura na kuhesabu ni kwa kutumia karatasi , je mifumo hiyo imesaidia vipi ushindi kwa CCM?
3. Je Kuna tatizo gani CCM kulink mfumo wake na wa NIDA ikiwa hata taasisi nyingine zinafanya hivyo? Je, tatizo ni kwa CCM?
Akamaliza kwa kusema Polepole kwa sasa hajui asemalo ,amepuuzwa kabisa
Kuna maswali hapa nimeulizwa ambayo yametokana na alichosema Polepole:
1. Tupo kwenye zama za kidigitali ,je kuna kosa vyama kulink taarifa za wapigakura wake na mfumo wa NIDA ili kurahisisha utambuzi ?
2. Utaratibu wa kupiga kura na kuhesabu ni kwa kutumia karatasi , je mifumo hiyo imesaidia vipi ushindi kwa CCM?
3. Je Kuna tatizo gani CCM kulink mfumo wake na wa NIDA ikiwa hata taasisi nyingine zinafanya hivyo? Je, tatizo ni kwa CCM?
Akamaliza kwa kusema Polepole kwa sasa hajui asemalo ,amepuuzwa kabisa
Wanajua sana, na hawana uwezo wa kukutaa kwani nao ni wafaidika wa huo mfumo wa wizi wa kura.Inamaana kweli NIDA hawajui Servers zao zimedukuliwa na Ma CCM???
Kwanza Polepole mwenyewe kabembeleza hadi kachoka, pamoja na mizengwe mingi aliyotumia kuwapelekea ujumbe asipasue jipu!Tunataka watuletee mabadiliko mezani --- hili hawawezi kufanya
Kumbe ndiyo maana wakurugenzi wa NIDA huwa ni watu wa TISS!!Alichokisema Leo polepole ndio kashfa kubwa ya kisiasa tokea tupate Uhuru. Kwamba kuna mfumo wa Siri wa mamlaka ya vitambulisho vya taifa (NIDA) umeunganishwa direct na (INEC) Kwa manufaa ya ccm kwenye uchaguzi mkuu. Kwamba mfumo huo utatumika kuiba au kuchakata matokeo ya uongo. Polepole ameongea Kwa hisia na kuvitaka vyama vitakavyoshiriki uchaguzi huo vijiridhishe japo vyote ni vya ccm isipokuwa chadema tu ambao ndio wapinzani wa kweli na wamefunga mikono isivyo haki.
Ubaya wa skendo hii ni kwamba haya mambo yakiwahiwa yakaondolewa mapema na mifumo ikawa huru basi mambo yatakuwa sawa japo tutakuwa tushajua dhamira yao ovu ilikuwa ninini. Lakini jambo hili likiachwa bila kufanyiwa kazi hii ni jinai kuu na itabatilisha hata huo ushindi wa ccm. Moderators msifute Wala kuunganisha huu Uzi.
Mbona ata Nape Nnauye, mwenezi mstaafu wa CCM amewahi kusema hivyo mara kadhaa!...It is a known secret.Japo ilikuwa inajulikana hivyo haikuwahi kusemwa wazi wala kukiri.. Leo mpishi mkuu kasanuka! Kwakweli leo kafumua mshono mpaka mwisho
Asante mkuu 'Fanfa'.Ni kulikataa DUDE la kuchakachulia kura. " Integrated systems". Mfumo wa CCM kuwa integrated kwenye mfumo wa Tume ya uchaguzi na ule wa NIDA.
Huko ndo wanako fetch data za kuchakachulia siyo kura yako.
Polepole katoa suruhisho ni mfumo kufanyiwa Audit (Penetration test) na wataalam nguli walio huru. Ikiwezekana watoke nje ya nchi ili kujiridhisha na alichokisema.
Pili mfumo ule ufumuliwe usitumike. Maana ndo machinery ya kuibia kura.
Hili ndo Dude linalowapa kiburi CCM. Ndiyo maana wanawajenga kisaikolojis kuwa CCM ina wanachama 13M