The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Unazima simu kabisa.
Wala huzimi simu
Unasema ulipo network shida inakatikatika
Huku unaikata mwenyewe hadi anashika adabu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unazima simu kabisa.
Wewe unawaza kuwa kifuani tuu😂😂 Halafu kuwa kifuani sio kazi ya usiku aliopiga simu peke yake usikariri. Ratiba za watu ziko tofauti na zako. Mume wangu nae anachapa kazi, Polepole nae ana mkeMume wako akiwa kifuani kwako na Polepole anapiga simu utamshauri kipi aendelee nacho???
Binamu kupanga ni kuchagua, hongera kwa kuchagua rahaHizo taabu mmejiandalia wenyewe na ziambatane na nyie. Hii miaka mitano kwangu itakuwa ni ya Raha Sana, no matter what.
Wanatuigizia tu hao waliandaliwa mapema kuwa watapigiwa simu.Katibu mwenezi wa CCM na Mbunge wa kuteuliwa anaendesha kipindi mubashara cha "Papo Kwa Papo" saa 3 usiku lkn anawapigia simu watendaji wa serikali akitaka watolee ufafanuzi baadhi ya kero za wananchi...
Jamaa yangu upo wapi? Umesahau kuwa Wasabato walishinda kesi kuwa kufanya usafi jumamaosi ni makosa,maana ni siku ya kuabudu wao! Hii nchi inafuata misingi ya sheria,inawaheshimu raia wake.Hivi unakumbuka yale maigizo wakati yesu kaingia madarakani ikawa kufanya usafi kila jumamosi? Tupe mrejesho wa usafi wa hapa Dar, au kick limebuma? Polepole naye anakuja na kick hizohizo outdated!
Ahahahahahahaah! Haya ndio mawazo mliwajaza akina Mange Kimambe na Lissu Ubelgiji wakapotea kwenye ramani.Wapumbavu ni hao watendaji. Kwani ukimkatia simu atakufanyaje?
Kama wananchi wanapiga simu muda huo wakiwa na matatizo au uhitaji ambao watendaji wa umma ndio wahusika, basi watumishi nao wanatakiwa kutoa huduma.Labda waliopigiwa simu hawana familia na hua hawali Bata.
PoollllllellllolNi kazi mbele kwa mbele hadi kufikia maendeleo yaliyoahidiwa. Mwaka huu hakuna atakayepata raha
Wakitaka familia na kula bata hawezi kwa sababu CCM ya hapa kazi tu ndio imeshika dola. Ingekua ACT Wazalendo ya Zitto ndio inasema kazi na bata. Hata hivyo kipindi cha Polepole ni siku moja tu kwa juma.Labda waliopigiwa simu hawana familia na hua hawali Bata.
MasaburiHahaaaa hivi wanalumumba mnatumiaga kiungo gani kufikiria??
Una uhakika...Wewe unawaza kuwa kifuani tuu[emoji23][emoji23] Halafu kuwa kifuani sio kazi ya usiku aliopiga simu peke yake usikariri. Ratiba za watu ziko tofauti na zako. Mume wangu nae anachapa kazi, Polepole nae ana mke
Jamaa yangu upo wapi? Umesahau kuwa Wasabato walishinda kesi kuwa kufanya usafi jumamaosi ni makosa,maana ni siku ya kuabudu wao! Hii nchi inafuata misingi ya sheria,inawaheshimu raia wake.
Ahaa,hapana kamanda. Mahakama kuu iliweka wazi ni siku ya wao kupumzika na kuabudu. Hivyo wasisurutishe watu kufanya usafi. Lakini kufanya usafi kwani mpaka iwe Jumamosi tu kamanda?Kwahiyo wasabato ndio wameamua hii nchi iwe chafu?
Hakuna muda wa kustarehe na familia hapa kwani hata yeye pole pole anafamilia pia lakini anapiga kazi muda wwte...nakuunga mkono mh.pole pole piga simu hata sa 8 usikuKatibu mwenezi wa CCM na Mbunge wa kuteuliwa anaendesha kipindi mubashara cha "Papo Kwa Papo" saa 3 usiku lkn anawapigia simu watendaji wa serikali akitaka watolee ufafanuzi baadhi ya kero za wananchi...
Mtumishi wa umma anatakiwa awe tayari kufanya kazi any tisaa
Kama hutaki haya kataa uteuzi.Ikifika saa kumi jioni sipokei simu yeyote ya ofisini ni muda wa familia yangu