Polepole fuata sheria za kazi, saa 3 usiku siyo muda wa kazi

Polepole fuata sheria za kazi, saa 3 usiku siyo muda wa kazi

Mume wako akiwa kifuani kwako na Polepole anapiga simu utamshauri kipi aendelee nacho???
Wewe unawaza kuwa kifuani tuu😂😂 Halafu kuwa kifuani sio kazi ya usiku aliopiga simu peke yake usikariri. Ratiba za watu ziko tofauti na zako. Mume wangu nae anachapa kazi, Polepole nae ana mke
 
Katibu mwenezi wa CCM na Mbunge wa kuteuliwa anaendesha kipindi mubashara cha "Papo Kwa Papo" saa 3 usiku lkn anawapigia simu watendaji wa serikali akitaka watolee ufafanuzi baadhi ya kero za wananchi...
Wanatuigizia tu hao waliandaliwa mapema kuwa watapigiwa simu.
 
Hivi unakumbuka yale maigizo wakati yesu kaingia madarakani ikawa kufanya usafi kila jumamosi? Tupe mrejesho wa usafi wa hapa Dar, au kick limebuma? Polepole naye anakuja na kick hizohizo outdated!
Jamaa yangu upo wapi? Umesahau kuwa Wasabato walishinda kesi kuwa kufanya usafi jumamaosi ni makosa,maana ni siku ya kuabudu wao! Hii nchi inafuata misingi ya sheria,inawaheshimu raia wake.
 
Labda waliopigiwa simu hawana familia na hua hawali Bata.
Kama wananchi wanapiga simu muda huo wakiwa na matatizo au uhitaji ambao watendaji wa umma ndio wahusika, basi watumishi nao wanatakiwa kutoa huduma.
Huwezi acha kumhudumia mwananchi kwenye taabu yake eti sababu ni usiku au weekend
 
Papo kwa papo, ni bonge moja la kipindi!! Jana ndo nimejua mandate aliyonayo huyu chakubanga.
 
Labda waliopigiwa simu hawana familia na hua hawali Bata.
Wakitaka familia na kula bata hawezi kwa sababu CCM ya hapa kazi tu ndio imeshika dola. Ingekua ACT Wazalendo ya Zitto ndio inasema kazi na bata. Hata hivyo kipindi cha Polepole ni siku moja tu kwa juma.
 
Wewe unawaza kuwa kifuani tuu[emoji23][emoji23] Halafu kuwa kifuani sio kazi ya usiku aliopiga simu peke yake usikariri. Ratiba za watu ziko tofauti na zako. Mume wangu nae anachapa kazi, Polepole nae ana mke
Una uhakika...
 
Jamaa yangu upo wapi? Umesahau kuwa Wasabato walishinda kesi kuwa kufanya usafi jumamaosi ni makosa,maana ni siku ya kuabudu wao! Hii nchi inafuata misingi ya sheria,inawaheshimu raia wake.

Kwahiyo wasabato ndio wameamua hii nchi iwe chafu?
 
Kwahiyo wasabato ndio wameamua hii nchi iwe chafu?
Ahaa,hapana kamanda. Mahakama kuu iliweka wazi ni siku ya wao kupumzika na kuabudu. Hivyo wasisurutishe watu kufanya usafi. Lakini kufanya usafi kwani mpaka iwe Jumamosi tu kamanda?
 
Katibu mwenezi wa CCM na Mbunge wa kuteuliwa anaendesha kipindi mubashara cha "Papo Kwa Papo" saa 3 usiku lkn anawapigia simu watendaji wa serikali akitaka watolee ufafanuzi baadhi ya kero za wananchi...
Hakuna muda wa kustarehe na familia hapa kwani hata yeye pole pole anafamilia pia lakini anapiga kazi muda wwte...nakuunga mkono mh.pole pole piga simu hata sa 8 usiku
 
Pole yao sana...
Kaamua kujipeleka kwenda kipindi anataka kusumbua kila mtu.

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom