Polepole fuata sheria za kazi, saa 3 usiku siyo muda wa kazi

Polepole fuata sheria za kazi, saa 3 usiku siyo muda wa kazi

Ni kazi mbele kwa mbele hadi kufikia maendeleo yaliyoahidiwa.... Mwaka huu hakuna atakayepata raha
Mume wako akiwa kifuani kwako na Polepole anapiga simu utamshauri kipi aendelee nacho???
 
Si ameteuliwa kuwa mbunge.. kwani Bado mwenezi? M/kiti wake si alisema kila mtu Nafasi moja?
 
Mtu maskini unasema watu wasifanye kazi saa tatu usiku eti ni udikteta wakati matajiri wanafanya kazi saa 24. Watu wa SACCOSS hovyo sana hayo anayoyafanya Haraka haraka ni kwa manufaa ya taifa ikiwa pamoja na wewe mwenyewe, babu/bibi zako na wanjamii wanaokuzunguka.
Saccos ndiyo nini ? Kwa saccos ndiyo imemtuma polepole kufanya maigizo?
 
Lililo wazi ni kuwa wewe ni MSHAMBA. Au umeingia mjini siku za karibuni na shule ndio iliyokuleta mjini. Mara nyingi watu wa aina yako ni tatizo sana kwani wanajihisi wanajua kuliko wengine wakati sivyo...
Itaungwa mkono na 'Wapumbavu' wenzako tu na Mimi nasubiri niwaone hapa. ila najua 'Werevu' Wenzangu hapa JF na wanaonijua Watakudharau.
 
Umeandika kama poyoyo vile//so sad
Unaacha Kuwaambia CHADEMA wako ( hasa Kurugenzi yenu ya Habari ) nao Wawe Wabunifu kama Wenzao wa CCM kwa kutumia kila Fursa katika Kujitangaza na kujiweka karibu hasa Kiimani na Kiitikadi za Kisiasa Wewe kilichopo Akilini mwako ni Majungu na Lawama tu pekee. Na ni Ubunifu kama huu anaofanya sana Polepole ndiyo unaing'arisha zaidi CCM na Kuaminika kwa Watu huku nyie mkilia lia kama 'Wehu' fulani vile.
 
Katibu mwenezi wa CCM na mbunge wa kuteuliwa anaendesha kipindi mubahara cha "Papo Kwa Papo" saa 3 usiku lkn anawapigia simu watendaji wa serikali akitaka watolee ufafanuzi baadhi ya kero za wananchi...
Ingelikuwa mdomo unaendana na matendo HP aka Chakubanga angelidumu udc pale "Mousomer" lakini alibanduliwa kama kanyakuliwa na mwewe baada ya kuwaingiza king walima matikiti!

Huyu si yule wa UKAWA
 
Katibu mwenezi wa CCM na mbunge wa kuteuliwa anaendesha kipindi mubahara cha "Papo Kwa Papo" saa 3 usiku lkn anawapigia simu watendaji wa serikali akitaka watolee ufafanuzi baadhi ya kero za wananchi...
Hilo ni toto fulani lisilojielewa. Ni kero.
 
Back
Top Bottom