Polepole, huna ubavu wa kisiasa, you are overrating yourself!

Polepole is a fool. Na bahati.mbaya hajui kusoma Alana za nyakati...wale wote walioumia kwenye awamu iliyopita hawajasahau Nini kiliwatokea. Na hawapo tayari kusamehe. Ajiandae kwa maumivu zaidi
 
Polepole is a fool. Na bahati.mbaya hajui kusoma Alana za nyakati...wale wote walioumia kwenye awamu iliyopita hawajasahau Nini kiliwatokea. Na hawapo tayari kusamehe. Ajiandae kwa maumivu zaidi
Huyo mtu asitarajie kupatiwa huruma kutoka kwa watanzania hata siku moja
 
Polepole is a fool. Na bahati.mbaya hajui kusoma Alana za nyakati...wale wote walioumia kwenye awamu iliyopita hawajasahau Nini kiliwatokea. Na hawapo tayari kusamehe. Ajiandae kwa maumivu zaidi
Ha ha ha!
Jidu hapo juu kaandika...."Polepole hana akili sana....He is not even a Thinker..."
Matatizo makubwa.
 
Mbinu hii unayoitahadhalisha hutumiwa sana na wachache wa hoja.

Huanza kumshambulia mtu personally kuliko kushambulia hoja yake kwa hoja zenye nguvu.

Mtu soft kama shaka hawezi kubishana na chakubanga hata dakika 2.

Shaka ni mtu anayeongelea issues/ideas, ujenzi wa madarasa,maji, hospital etc. na Pole pole ni mtu anayependa kuongelea watu mfano hawajafanya hiki mara kile mara wahuni,amekosa nuru na utulivu kwa ujumla,ana tapa tapa hajui lipi la kushika.
 
Siyo sawa kumgombeza mtu kwa kutoa maoni yake. Kama hukubaliani na hoja zake, toa zako tuzilinganishe na zake na kuamua hoja zipi zina mantiki zaidi. Kusema kwamba akikaa kimya nobody will miss him si kweli. Tupo ambao tunathamini kauli zake. Usitusemee bila kutuuliza maoni yetu. Ishia kutoa maoni yako tu. Uhuru wa kutoa maoni ndiyo msingi wenyewe wa demokrasia. Tusizibane midomo.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Shaka ni mtu anayeongelea issues/ideas, ujenzi wa madarasa,maji, hospital etc. na Pole pole ni mtu anayependa kuongelea watu mfano hawajafanya hiki mara kile mara wahunu,amekosa nuru na utulivu kwa ujumla,ana tapa tapa hajui lipi la kushika.

shaka anaongelea ujenzi yeye kama nani kiutendaji!!!
huu utaratibu wa watu wa chama kujinasibisha na utendaji ndio unahanithi utendaji.
 
Mkuu mtu mnafiki utamjibu kwa vipi.
Hebu tupe msimamo kwa mfano!
 
Ukimsikiliza Humphrey Polepole na ukianza kumjua polepole before JPM hajaingia magogoni na Polepole wakati wa JPM na Polepole huyu wa Sasa utagundua Polepole anaumwa ugonjwa wa kihoro.

Polepole hakuwahi kudhani JPM angefariki mapema vile alijua kupewa ubunge ilikua njia ya kutaftiwa nafasi kwenye baraza la mawaziri lakini sivyo, kifo kimekatisha ndoto zake.

Polepole anapata wapi uhalali wa kukosoa wakati katika kipindi chake ndio wapinzani wa ndani ya CCM na nje walishughulikiwa kuliko wakati wowote ule anatakiwa atambue zama zao zimepita hizi ni zama nyingine.
 
Je wakati yupo kama katibu mwenezi , na jpm akiwa rais waliweza kuwasikiliza wengine waliokuwa na hoja?nini kilimkuta nape, benard membe,
 
Shida hamsikilizi Polepole! Polepole hana chuki na Samia ila anachuki na nzi zinazomzingira Samia. View attachment 2042306
Polepole anamchukia Samia, huo ni Ukweli! And Samia hana inzi yeyote na wala hana ukaribu na mteule wake yeyote yule, kifupi awamu ya Samia hakuna mteule asiyegusika!!

Jiwe ndiye alizungukwa na inzi, akina Bashite, Sabaya, Mnyeti, Polepole, Bashiru, Kakoko, na hayo mainzi ya jiwe yalikuwa ni Miungu watu, kwa sasa wametolewa hicho cheo cha uungu wanahaha.

Bahati nzuri sana mtu ninayemkubali sana katika hilo kundi (Bashiru) ana adabu na anajitambua, katulia zake kimya, naamini ipo siku atakumbukwa
 
Nyie mbona hamkuwaruhusu waliokuwa na mitazamo tofauti na nyie waseme? Mkuki kwa nguruwe siyo....
. Huyo Polepole anyamazishwe kabisa tena milele ikiwezekana. Ili viroboto wenzake watakaobaki wajifunze kuwa kipimo unachopimia wenzako kuna siku kitatumika kuwapimia na wao.
 
Shida hamsikilizi Polepole! Polepole hana chuki na Samia ila anachuki na nzi zinazomzingira Samia. View attachment 2042306
"ISHI NA WATU VIZURI SPONSA UFARIKI."
huyo roho bado inamuuma.
Si juzi tu hapa alikuwa anapandisha mabega juu anatamba?
alijitoa Sana ufahamu kipindi Cha MAGUFULI umeshasahau?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…