Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,019
- 156,726
Watumishi wa umma na wanasiasa wanapokuwa na mambo ya public interest, wanapojua mambo mabaya, wanaweza kuyasema na kutetewa na "The Whistleblower And Witness Protection Act" .Kuna mambo hawezi kusema kutokana na kiapo chake kama mtumishi wa umma. Ndio maana anapiga mdogo mdogo kwa code. Yapo mengi ya kusema akisema yote kesho ataongea nini? Kwa kushusha nondo chache anawapa hofu hata hao "wahuni" maana hawajui kesho atasema lipi.
Kuna sheria ya kuwatetea, as long as wanasema in good faith, kwa public interest.
Na kama anaogopa kusema, mbona tayari kashasema mengi tu mabaya?
Suala si kuogopa viapo, suala ni kwamba P9lepole ni self serving anatoa anayotaka yeye asiyotaka anaficha. Mengine yanamuweka yeye mwenyewe kwenye hatia, hawezi kuyasema.
Kwa hiyo hiki si kisingizio.
Mambo kama haya ndipo Polepole anapowashikia akili.
Anatumia excuses za ujanjaujanja kwa sababu anajua wewe huwezi kupinga excuses zake za uongo kwa sababu hujui kuhusu whistleblowers act na inavyotetea watumishi wa umma wanaoibua mabaya in good faith for public interest.
The act is here.