Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,600
- 59,760
Go Slow SlowHuyu pipo ameamua kutrend kwa namna yake.
Go Slow SlowHuyu pipo ameamua kutrend kwa namna yake.
Dereva Tax sio bodaboda hawa jamaa waendesha Uber na Tax wana Siri nyingi sanaBodaboda wanapewa mambo mengi mzazito bila wao kujua wala kustukiwa
Huamini unachoambiwa ila ndio umeshaambiwa hutaki acha ila usiseme hukuambiwa, yeye alimbiwa akamwambie Chuma kuna Wahuni wanataka kumuua Chuma akamwambia ongea na Bibi ushungi mwelezee, yeye hakuona kinachofuata nini watu wakamchukuaHata fundi saa anaweza kulipua ila bahasha kama hiyo inaweza kwenda bila kufungwa? Maajabu.
Jay km Jay Mr. BLACK SLIMBlack slim
Hiki ndicho anachotaka mbishe ayalete mafaili hadharani muumbuke mmoja baada ya mwingine murderersHawezi kumwaga kila kitu kwa sababu nia yake si kusema ukweli.
Angekuwa na nia ya kusema ukweli angesema yote.
Nia yake ni kujipatia popularity, influence na power.
Hivyo anatoa kidogo kidogo kwa hesabu za kujipanga apate popularity, influenxe na power.
Ujasusi huoPolepole sasa anaanza mzaha. Bahasha ya siri kama hiyo iende wazi na apewe tax driver kweli?
Umekosea hapokwa ufupi kasema JPMaliuwa, Ndugai nae kapigwa na kitu kizito
Murderers are watchingUjasusi huo
Vito Corleone anasubiriwa amjibu tu slow slow amwage mafaili yote yanayomuhusu, anakonakona ila anasubiria target ijilengeshe aitungue na Vito alivyo mjanja anapiga bunda haweki neno loloteAongee mara ngapi? Mbona kama hii kauli inaonesha Dkt Magufuli aliuawa!
Who don't know about that?Namba 1 ndiye muuaji na inajulikana. Sema JK nampenda pamoja na kuwa ni master ila ni msiri sana. Namba moja alishindwa kutunza siri akaanza kuropoka
Polepole alikuwemo kwenye sisitimu hivyo anajua jamaa humo ni waoga kweri kweri kuumbuliwa mambo yao 🤣😅 !Tutasikia Mengi mwaka huu.
Polepole kama ameamua kufunguka, afunguke tu asiogope kufa. Maana jamaa wakiamua, hata ufanyeje kufa utakufa tu.
Sasa si bora tu ufanye kama alivyofanya Hayati JPM?!
RIP Job Ndugai aliambiwa Mzee usichukue fomu akagoma sasa hivi yupo kwenye Friji anapigwa na baridiPolepole is just a mere loser. Wala taarifa zake siyo "breaking news kihivyo" maana anayoongea ni majungu ya mtu aliyepotezwa kwenye ramani.
Samia anachukua fomu kesho INEC na Oktoba TUNATIKI
Nia yake ni kusema ukweli but anaogopa kuwa offend vigogo. Remember ni former spy so bado yupo under oath.Hawezi kumwaga kila kitu kwa sababu nia yake si kusema ukweli.
Angekuwa na nia ya kusema ukweli angesema yote.
Nia yake ni kujipatia popularity, influence na power.
Hivyo anatoa kidogo kidogo kwa hesabu za kujipanga apate popularity, influenxe na power.
Naunga hoja mkono. Aweke wazi yote anayoyajua kabla hajanyamazishwa kwa namna yoyote iwayo. Achukue mfano wa akina Edward Snowden wa CIA kipindi kile. Anaremba mwandiko wakati muda wa mtihani umeishaPolepole unarembaremba nini, mwaga kila kitu bhana! Usisubiri mpaka wakuvamie hapo Mwananyamala Komakoma
Kiranga you are missing the pointHawezi kumwaga kila kitu kwa sababu nia yake si kusema ukweli.
Angekuwa na nia ya kusema ukweli angesema yote.
Nia yake ni kujipatia popularity, influence na power.
Hivyo anatoa kidogo kidogo kwa hesabu za kujipanga apate popularity, influenxe na power.
Cheat CodeIlikuaje bahasha muhimu na ya siri apewe dereva ikiwa ipo wazi au ni code
RIP Job NdugaiMuache achukue hiyo fomu tujue ukweli. Je ni nani huyo aliyetajwa kama tax driver?? Je ni nani aliyekuwa akimtuma?? Je alikuwa akitumwa wapi?? Je ni kina nani na wana nguvu gani walio nyuma ya HP??