Polepole: Kuna mtu alikuja kuniambia kuwa kiongozi wa awamu ya 5 atakufa

Watumishi wa umma na wanasiasa wanapokuwa na mambo ya public interest, wanapojua mambo mabaya, wanaweza kuyasema na kutetewa na "The Whistleblower And Witness Protection Act" .

Kuna sheria ya kuwatetea, as long as wanasema in good faith, kwa public interest.

Na kama anaogopa kusema, mbona tayari kashasema mengi tu mabaya?

Suala si kuogopa viapo, suala ni kwamba P9lepole ni self serving anatoa anayotaka yeye asiyotaka anaficha. Mengine yanamuweka yeye mwenyewe kwenye hatia, hawezi kuyasema.

Kwa hiyo hiki si kisingizio.

Mambo kama haya ndipo Polepole anapowashikia akili.

Anatumia excuses za ujanjaujanja kwa sababu anajua wewe huwezi kupinga excuses zake za uongo kwa sababu hujui kuhusu whistleblowers act na inavyotetea watumishi wa umma wanaoibua mabaya in good faith for public interest.

The act is here.

 
Kama hawajui aliko na Kila siki Yuko mtandaoni basi ni vilaza wa hedi
Najua wanajua aliko wanamvutia kasi
Kama wanajua alipo wanaogopa Reaction ya wananchi maana kukamatwa kwa pole pole kunaweza leta reaction isiyojulikana ni ipi na hawataki hilo litokee

Ki ufupi sasa hivi wapo makini sana wasivuruge uchaguzi kwa kukurupuka, wako makini sana maana ikatokea la kutokea uchaguzi usifanyike nadhani nchi haiyokua mikononi mwa Rais sijui katiba inasemaje na hofu yao ndipo ilipo
 
Mkuu polepole Hana UWEZO WA kumsimamisha SAMIA. We ni MGENI KWENYE siasa?
 
Kama sio tishio why TCRA wanapewa maagizo kila anapokuwa na press?
Labda pengine wanahofia Ile dhana isemayo "uwongo ukirudiwa rudiwa mara nyingi huonekana ni ukweli". Na kama Slow slow anasema uwongo kwanini wasitokee wazito kukanusha madai yake, yaani Mzee Steve, ndugu kipenzi mototrycle, Mr. Tozo, mkuu DAB etc hakuna wa kujitokeza kujibu hizi shutuma?!
 
Polepole ameanza kuniprove wrong. Inshort NAANZA kumpuuzia anaweza kua Yuko wright ila anaongeza chumvi. Alafu anapanga tukio kubwa unasubiri ila akifanya halifanyi kwa ukubwa ulio kusudiwa SIKU HIZI hata simfatilii

Kwishaaaa
Haongei na ninyi watu wa kawaida, wa mitaa ya Manzese kwa mfuga mbwa...

Anaongea na waliokuwa wenzake kwa "codes" wanazozijua wenyewe na hao wanamwelewa vizuri na wanajua hatari iliyo mbele yao kama hawatam - taimu na kumfanya kitu mbaya...

Kuna ukweli kuwa hayuko peke yake. Ana sapoti kubwa na watu wakubwa wa humohumo ndani ya CCM na serikali. Otherwise, wangeshanyamazisha longtime...

He's under some sort of protection
 
nimecheka kikudaa hahaha mkuu pole eti, kama haongei na sisi WA manzese kwa mfuga mbwa kwa Nini ASIWAPE utaratibu mkakutana faragha NYIE wenyewe. Kaleta mitandaoni ILI tujadili Mimi SIO MTU WA ndio TU bila hata kuchallenge ILI TU nionekane na IQ KUBWA hayo mambo Nisha kuachia wewe mtembea na koti la suti moja viatu vilivo isha UPANDE suruali IMEISHA KWENYE matrako na viraka juu. Eti mwanaharakati. Feel sorry mkuu ni challenge TU usipaniki



Kwishaaaaaaa
 
 

Attachments

  • 12081227_450393565146996_1442799204_n.jpg
    8 KB · Views: 7
  • E2J15v45XLSQdTMG.jpeg
    58 KB · Views: 6
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…