Polepole: Kuna mtu alikuja kuniambia kuwa kiongozi wa awamu ya 5 atakufa

habari hizi zilianza kuwa fununua miaka ya nyuma yeye ndio kapata ujasili wa kufunua code chache wahusika wana jua NA usifikili wana chukulia kama uzushi lazima wakae vikaoo utawasikia soon wana sema anatunga uongo ili kuichafua ccm
 
Kwani kuna kiongozi wa awamu ya 5 hatakufa?
 
Polepole unarembaremba nini, mwaga kila kitu bhana! Usisubiri mpaka wakuvamie hapo Mwananyamala Komakoma
Hawezi kumwaga kila kitu kwa sababu nia yake si kusema ukweli.

Angekuwa na nia ya kusema ukweli angesema yote.

Nia yake ni kujipatia popularity, influence na power.

Hivyo anatoa kidogo kidogo kwa hesabu za kujipanga apate popularity, influenxe na power.
 
Namba 1 ndiye muuaji na inajulikana. Sema JK nampenda pamoja na kuwa ni master ila ni msiri sana. Namba moja alishindwa kutunza siri akaanza kuropoka
 
Polepole is just a mere loser. Wala taarifa zake siyo "breaking news kihivyo" maana anayoongea ni majungu ya mtu aliyepotezwa kwenye ramani.

Samia anachukua fomu kesho INEC na Oktoba TUNATIKI
 
Ukiambiwa sabini utamsaidia malezi?au kimuhemuhe ni kwa kuwa ni alikuwa kiongozi wa kitaita tena kwenye moya ya mhimizi muhimu mno sawa na dereva wa kulifikisha taifa kwenye safari iliyo salamaa?
 
Hapana mkuu Kuna vitu ukimtengenezea MTU taswira Fulani alafu aone tofauti inashusha shauku na maswali kibao. Tangu magufuli kafariki ni Miaka mingapi? NDO hayo yasemwe Leo mkuu tena KWENYE uchaguzi? JE haziwezi kuwa fitna za chaguzi?



Kwishaaaa
Kila jambo lina wakati na nafasi yake mkuu. Kwa akili yako unataka kusema kuwa kipindi hicho angeamka tu ghafla na kusema hayo aliyoyasema?

Nadhani utakua hufikirii vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…