Unaambiwa ilikuwa ni series ya barua, kha bahati mbaya hiyo moja ikasahaulika kufungwa.Makosa ya kiuandishi, yote kwa yote barua kama hiyo haiwezi kuachwa wazi. Hata kama hao wahusika ni mazuzu kiasi gani.
Hii ni hatari, atamwaga mboga huyo....Namba 1 ndiye muuaji na inajulikana. Sema JK nampenda pamoja na kuwa ni master ila ni msiri sana. Namba moja alishindwa kutunza siri akaanza kuropoka
Muache achukue hiyo fomu tujue ukweli. Je ni nani huyo aliyetajwa kama tax driver?? Je ni nani aliyekuwa akimtuma?? Je alikuwa akitumwa wapi?? Je ni kina nani na wana nguvu gani walio nyuma ya HP??Polepole is just a mere loser. Wala taarifa zake siyo "breaking news kihivyo" maana anayoongea ni majungu ya mtu aliyepotezwa kwenye ramani.
Samia anachukua fomu kesho INEC na Oktoba TUNATIKI
Ukiweza kufungua codes utaelewa.
NAMI NAKUTANDIKA SWALI MKUU KUONYESHA HUFIKIRII NJE YA BOX. JE SAMIA ASINGE CHUKUA FOMU UNAONA HUYU POLEPOLE ANGEONGEA CHOCHOTE? KAMA ANA NIA NJEMA NA TAIFA KWA NINI ASUBIRIE SAMIA KISA KUCHUKUA FOMU NDO AJITOKEZE JE SAMIA ASINGE CHUKUA FOMU? INA MAANA KUSINGE KUWA NA HAJA YA KUONGEA HAYO. JE HUO NDO UZALENDO?Kila jambo lina wakati na nafasi yake mkuu. Kwa akili yako unataka kusema kuwa kipindi hicho angeamka tu ghafla na kusema hayo aliyoyasema?
Nadhani utakua hufikirii vizuri.
Wabongo bwana, mnataka msikiaje..kua alipewa njemba mwenye gari Kali aina ya range Rover nyeusi tinted ..aliepiga miwani nyeusi ..ndio muamin ..Polepole sasa anaanza mzaha. Bahasha ya siri kama hiyo iende wazi na apewe tax driver kweli?
Na mim nmeona ni code hio...Hiyo meseji anawatumia wahusika ni code
Polepole aendelee kumnyoosha huyu kikaragosi cha wahuni, OIL CHAFU ni lazima imwagwe sasa.Leo kwenye muendelezo wa mawasilisho yake huko mitandaoni Ndugu Humphrey Polepole amesema kuwa wakati wanakaribia uchaguzi mkuu 2020 kwenye kazi yake ya kusikiliza wananchi kuna bwana mmoja alimfuata akamwambia kuwa kuna watu wanapanga kumuua Rais wa wakati huo!
Anasema alipeleka ujumbe huo kwa muheshimiwa Rais, ambae pamoja na mengine alimwambia kuwa habari hizo akamwelezee msaidizi wake fulani ambae Ndugu Polepole hajamtaja.
Anasema pia palikuwepo dereva Taxi aliyekuwa akipewa bahasha na watu fulani aipeleke sehemu fulani. Siku moja dereva huyo alipewa bahasha ikiwa wazi/haijafungwa hivyo dereva alipata shauku ya kutaka kuona ni nini ambacho amekua akibebeshwa kwenye bahasha siku zote hizo. Ndipo alipofungua bahasha hiyo na kukuta list ya majina mengi ya watu/viongozi yakiwa yameandikwa kwa pamoja na codes zisizoeleweka, Anasema lilikuwemo jina la Rais wa awamu ya 5 na hata la kwake pia Polepole lilikuwepo!
Mwisho, Ndugu Polepole amemwambia muheshimiwa Rais wa sasa kuwa asiende kuchukua fomu kesho kwani kufanya hivyo itakuwa ni kuwatukana watanzania wote wanaoona mbali kuliko anavyoona yeye na hao waliomzunguka wanaomshinikiza kuchukua fomu na kuwania uRais.
Nimetafakari sana, wacha tuone!
Wabongo mnaitaji akili zenu zichaji kama wanaijeria ..mko lazy sana ..mnaboa...Akichoka kujibaraguza atasema atakacho naona anazunguka mbuyu tu taarab nyingi HIPHOP hamna!
Nadhani kulikuwa na maana kuiacha wazi, waliompa hawakuwa wajingaHata fundi saa anaweza kulipua ila bahasha kama hiyo inaweza kwenda bila kufungwa? Maajabu.
Mimi nashangaa watu wanamuona jamaa kama anatunga .. hawajui hizo ni codes na Zaid nashangaa watu wanawadharau Hawa matex driver na boda,,Mimi kati ya watu naowaheshim nikienda mahali papya ni boda boda na teksi drivers ...na wazee wale wanaokaaga kucheza bao na kunywa kahawa muda wote ...imeshaniokoa nisipate ukimwi...nyie acheni bwana ..ujasusi una mambo mengi anatumiwa mtu yoyote ambaye wewe humdhanii kabisa ...Bodaboda wanapewa mambo mengi mzazito bila wao kujua wala kustukiwa
Wabongo bwana, mnataka msikiaje..kua alipewa njemba mwenye gari Kali aina ya range Rover nyeusi tinted ..aliepiga miwani nyeusi ..ndio muamin ..
Si mpaka akili ya mtu iwe sharp ndo aelewe ulichoandika..Acheni kupoteza muda na polepole ni project ya kitengo kuwatoa kwenye reli ishu ya NO REFORMS NO ELECTION