Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 9,414
- 6,029
Mabeyo alicheza kama Pele kuhakikisha Samia anaingia ikulu, lipo kundi kubwa la wapumbavu wa aina ya huyu jamaa walitaka kumchezea rafu siku zile baada ya JPM kuaga dunia.Polepole: Mama pumzika hautakiwi kugombe, lakini naona umeshupaza shingo, nasema kama kijana wako sina tofauti na Dula usitake mama Mungu akasirika juu yako kwa sababu watu wengi wanalia, wape CCM haki yao.
Naunga mkono hojaAnaekwambia ukweli anakupenda sana na hata ukifa yeye ndie anaeumia sana anaumia sababu anajaribu kukuokoa ni sawa na Mungu amekutumia Malaika, kumbe wewe umewekwa Mateka wamemuweka Mateka sasa hivi hana cha kuzungumza sana sana atasema na yeye ana maboss wake
kwani haka ka dogo kamemsikilia Mungu? kauaji hakPolepole: Mama pumzika hautakiwi kugombe, lakini naona umeshupaza shingo, nasema kama kijana wako sina tofauti na Dula usitake mama Mungu akasirika juu yako kwa sababu watu wengi wanalia, wape CCM haki yao.
sema wewe humtaki. ila sisi tunataka hata aongoz 1000 years mana hatujawahi kupata rais kama huyu tangu nchi ipate uhuru Hapa katikati tuliongozwa na vampire (jpm)hatumtaki
Mayala kwa kaliba yako. Unatakiwa kuwa na comment isiyoegemea upande wwte iwe neutral. Au mkuu huijui nafasi yako ktk jamii
Polepole aseme Maza hatakiwi na kina nani?,isije ikawa ni kundi dogo la male chauvinist wasiomkubali mwanamke,tena akiwa Muislamu ndio kabisa! kwa Wakristu hata angekuwa ni Bikira Maria mwenyewe,ni Wakatoliki tuu kamwe hawakubali rais mwanamke!mara novena,mara waraka, Polepole atoke aseme ni kina nani hawamtaki Mama,wakati kila kona ni mama mama!。 Sema no to male chauvinism!。
Namhurumia sana Polepole,its too little too late lori la contena la uchaguzi la twende na mama, mitano tena, tayari liko mwendo kasi kwenye mteremko,there is no turning back and no one can stop it now isipokuwa YEYE!GE2025 - Polepole, Asante kwa ukweli wako kuhusu kiini macho cha Uchaguzi. Hoja ya tusishiriki, haina tija tena na Uchaguzi Upo!
P
It’s too sad. Wenzie wote kawaweka bench, aendelee yeye mwenyewe, wajipange kutafuna nchi vizuri. Aisee jamani tusipochangamka sasa, itakuwa imekula kwetu. Kwa dalili hizi, hakuna mtu atastep down 2030. Watoto na wanufaika watakomaa kuendelea. Hata yule wa Mstaafu ajue hapati kitu, baba yake anatumika kwa sasa. Wahindi na Waarabu hawatakubali huyu mama atoke. It’s easier to deal with her na si mtu mwingine e.g mtoto wa Mstaafu. Pia tu huyu Mama kashanogewa. Ila wajue tu kuwa pia kuna Mungu. Yana mwisho haya.Huyo mama mwenyewe anasikia sasa?
RabaikaPolepole: Mama pumzika hautakiwi kugombe, lakini naona umeshupaza shingo, nasema kama kijana wako sina tofauti na Dula usitake mama Mungu akasirika juu yako kwa sababu watu wengi wanalia, wape CCM haki yao.
Machawa hawawezi kukuelewana wazalendo wenzangu watanganyika
Anaongea na Chura kiziwiHuyo mama mwenyewe anasikia sasa?
Mbona sijaegemea upande wowote?. Polepole anasema Mama hatakiwi, mimi nimeuliza hatakiwi na nani?.Mayala kwa kaliba yako. Unatakiwa kuwa na comment isiyoegemea upande wwte iwe neutral. Au mkuu huijui nafasi yako ktk jamii
We na wakristo wenzio baadhi?/church inawatuma kuleta fujohatumtaki
Huyo mama ni rais fake. HatufaiPolepole: Mama pumzika hautakiwi kugombe, lakini naona umeshupaza shingo, nasema kama kijana wako sina tofauti na Dula usitake mama Mungu akasirika juu yako kwa sababu watu wengi wanalia, wape CCM haki yao.
Watanzania zaidi ya nusu hatumtaki. CCM huko kwenu hawamtaki, kama huamini.....waambie wapige kura za siri....utapata majibu. Wewe Paskali unajua kabisa huyo mama...CHURA KIZIWI hatumtaki unaendeleza ubishi. Umeshasikia kuna mahali popote duniani CHURA KIZIWI anapendwa???? Yaani chura asiyesikiliza watu apendwe? No way.Mbona sijaegemea upande wowote?. Polepole anasema Mama hatakiwi, mimi nimeuliza hatakiwi na nani?.
P
Watanzania zaidi ya nusu hatumtaki. CCM huko kwenu hawamtaki, kama huamini.....waambie wapige kura za siri....utapata majibu. Wewe Paskali unajua kabisa huyo mama.
https://www.facebook.com/Polepole: Mama pumzika hautakiwi kugombe, lakini naona umeshupaza shingo, nasema kama kijana wako sina tofauti na Dula usitake mama Mungu akasirika juu yako kwa sababu watu wengi wanalia, wape CCM haki yao.
https://www.facebook.com/Polepole: Mama pumzika hautakiwi kugombe, lakini naona umeshupaza shingo, nasema kama kijana wako sina tofauti na Dula usitake mama Mungu akasirika juu yako kwa sababu watu wengi wanalia, wape CCM haki yao.
Mbona sasa anaogopa wapinzani wa kweli, siyo hao wa mchongo, wanayesema wakishinda watambakiza Samia Ikulu huku wakijua hawawezi kushinda. Fanyeni haki, hata mkishinda tutawapongeza, lakini tunajua uchaguzi wetu upoje. Mpinzani wa kweli yupo gerezani, ametaka kuhongwa, kafuatwa mpaka na mtoto wa mama, Abdul hadi kwake akatoa nje. Acheni utani watanzania.Nani alifanya utafiti akapata hizo data?. Usisikilize maneno ya vijiweni na watu muflis, kila kona ya nchi ni Mama Mama mitano tena!
Tusiandikie mate na wino upo, subiria 29 October, utaniambia.
P
Hatakiwi wala hapendwi Ndio maana anaogopa mchakato utakaompambanisha na wana ccm wengine!!Chawa kabla hujajibu tafiti kidogo, kama angetakiwa unadhani angegombea kupitia dirishani?