Polepole: Mkutano ujao nitaongea mambo ambayo hawatapenda kuyasikia

Wanajua kabisa kuwa Polepole ni tishio ndiyo maana wanazima mitandao. Hwa wanaopiga filimbi huku mitandaoni ni wa kupuuzwa.
Acheni uongo
Hakuna mtandao ulizimwa, mimi niliangalia bila vpn juzi
Hii stori ya mitandao imezimwa mnaitoa wapi ?
 
Polepole ni mpuuzi tu, anakua kama mwanamke. Anasubiri mambo yake yaende anavyotaka ili asibwabwaje, kama ni kwa maslahi ya taifa aongee bila kutishia tishia na kuongea kama konokono
Huwenda ndiyo asili ya jina lake sasa wewe unachotaka mabadiliko au aongeetu alafu lisifanyiwe kazi
 
Nikikuuliza wewe Bavicha Polepole yupo wapi hauja jibu, angekuwa na athari angeongea huku kajificha kama Nguchiro😂
 
Nikikuuliza wewe Bavicha Polepole yupo wapi hauja jibu, angekuwa na athari angeongea huku kajificha kama Nguchiro😂
Mtandao imezimwa kwa nini? Walivamia kwa dada yake kwa nini?
 
Afungue na tv station yake kabisa ajipe 24 hours broadcasting

Haiondoi fact kwamba he is irrelevant… hata leo angegombea ubunge popote pale, asingepata
 
Mbona unampangia cha kuongea
 
kwa vyovyote vile mambo yoyote atakayoongea ambayo ni mabaya au mazuri ni kwamba YEYE MWENYEWE AMESHIRIKI KUYAFANYA kwahiyo asitutishe kabisa kam ni hukumu nayeye yumo
Ila chakufahamu ni kuwa binafsi ameamuakujitenga na uovu pamoja na maslahi yanayoambatana nayo.
 
Ngoja Tusubiri tuone kama kweli Polepole ana Ubavu mbele ya anaowaita Wahuni 😀

Akishindwa kuwakoromea kisawa sawa tutajua naye ni debe tupu tu !
Au nasema uongo ndugu zanguni ??!
 
Ila chakufahamu ni kuwa binafsi ameamuakujitenga na uovu pamoja na maslahi yanayoambatana nayo.
Hapo ni sawa ila yeye pamoja na kujitenga kwake bado hataleta impact yeyote ya kuwafanya wale anaowaita wahuni waache Uhuni wao 😳 !

Labda akiamua kumwaga Ugali na mboga zote 🙄 !

Hapo tutaamini kweli sasa yupo Siriasi 😳🤷🏿‍♂️ !
 
Uzuri ametoa muda wa tafakuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…